Hatua 7 kwetu sisi vijana katika kuanza safari ya kujitegemea

 

1. Hatua ya kwanza jifunze kufanya kazi yeyote bila kuangalia elimu yako au fanya biashara yeyote ndogo
2. Hatua ya pili jifunze kujiwekea akiba ya hela ndogo ndogo unazopata
3. Hatua ya tatu tengeneza malengo ya mwaka mmoja au miwili itakapofikia hatua flani kiasi flani cha hela uwe umefikisha
4. Hatua ya nne tafuta chumba cha kupanga cha bei rahisi kisha ulipie miezi Sita huku ukiwa bado upo nyumbani
5. Hatua ya tano anza kununua vitu vidogo vidogo kama Godoro, net, capet na ndoo ya kuogea na jiko la kupitia
6. Hatua ya Sita ndani ya week hakikisha unatumia siku mbili au tatu ukiwa kwako hapa nina maana unaanza kujizoesha kukaa peke yako na kujitegemea ukiwa peke yako
7. Hatua ya saba hamia kwako na kuanza kujitegemea na kuanza kujitegemea taratibu
NOTE THAT: Unapoanza safari ya kujitegemea hakikisha unajitenga au unajiepusha na mambo yafuatayo
1. Kampani ya wala bata au vijana wala bata
2. Epuka mahusiano yasiyo na tija yatakuwa kwenye mstari
3. Epuka safari zisizo na ulazima
4. Epuka marafiki majungu
5. Epuka kusimulia watu malengo yako ktk maisha
May be an image of 1 person, standing and footwear

1

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA