BADAE UANZE LALAMIKA SHETANI KAINGILIA NDOA YANGU WAKATI SHETANI NI WEWE MWENYEWE
WANAWAKE ZINGATIENI HAYA ...!!
1. Mwanandoa unatoka kulala na mumeo huogi mpaka kuna kucha. Hivi unajua jasho la gemu wewe..... Alafu unataka mkimaliza akukumbatie. Acheni kutesa watoto wa wanawake wenzenu. Huo mkwapa wako si anaweza akazimia usingizini
2. Kuna mwanamke hadi muda huu ajui mumewe anakula nini ila yupo beautfull wives anachat. Nae anajiita mke mwema.
weeee ushindwe.... Kaanze upya
3. Kuna mwanamke amekaa saa hizi chakula cha mume kapika house girl na hajui ni chakula gani. Alafu anajiita mke. We mke au mtoi shoo. Shindwa mke afanani hivyo.
Leo wiki end mume ale chakula chako woiiiiiiiiiiiiii
4. Mwanandoa ikifika usiku na likanga kama anaenda kufanyiwa tohara. Alafu anakuja kulalamika oooohh mume anitombi. Woi anakutombaje na unajiandaa kwenda kutahiriwa........
Night dress buku
5. Mwanandoa chupi mbayaaaaaaa mpaka inafanana na matako yake. Alafu unataka mume avutiwe na wewe. Akiangalia chupi lako tu amekinai na huo mwili. Chupi moja mwaka mzima kisa mume kamzoea.
We huyo si mjomba wako.
6. Mwanandoa unajifutia kanga baada ya kumaliza shoo.... Ukichubua uume wa mwenzako. Vitambaa kariakoo dazen buku tano..... Sasa subiri akutane na wenye viwanda vya vitambaa......
Unyumba utausikia kwa jirani
7.
Kuna mwanamke mpaka saa hizi ajatandika kitanda toka alipo amka. Eti yupo busy na kusaka noti. Hahahahaha wewe ni bachela sio wife material hata iweje. Ndio mnaochafia cv za wanawake. :
kama upo ukome
8. Mwanandoa matako yana vipele. Kisa anatiwa usiku. We mikono ya mumeo nayo ina kiza au. Acheni mazoea ya kijinga akikutana na tako bofro...... Utalala kanisani unaomba muujiza
9. Mwanandoa hujui hata kuweka mwili wako uvutie. Unatoka kupika pilau unaenda kutenga chakula mezani. Ndio maana hata hamlishwi muda wa kula. Haya Sema mara ya mwisho umelishwa lini kama sio siku ya harusi ukumbini
10. Mwanandoa sebule ukiingia unakutana na sufuria la ugali na mwiko..... Alafu unataka mume arudi mapema nyumbani..... Yaani akikuhurumia kurudi mapema ni saa nane usiku
Mwl Bemasha