Ivi unajua maana ya pisi kali
? ngoja turudi nyuma kidogo hapo nyuma kulikuwepo na msemo unaoitwa Changudoa baada ya kushika kasi sana ikabidi kuupunguza makali Tukaita Danga baada ya Danga tukaona pia tupunguze makali kwa kuita pisi kali
ni wadada wasio na kazi mjini wewe mwenye kazi na mishe ni malkia wa nguvu......
Pisi kali kwenye uchumi pisi kali kwa wanaume ndio maana ya huu msemo uwe pisi kali yamaana ukamtamanishe mwanaume upate hela ndio maana ila malkia wa nguvu ndio neno la kushujaa labda uwe pisi kali mbele ya Mungu na sio kwa mwanaume
mzuri una kazi zako wewe ni malkia wa nguvu na sio pisi kali
mwanamke mzuri mwenye akili ni malkia wa nguvu ...
Mwanamke mzuri asie na akili ndio pisi kali
Uwezi ukawa malkia wa nguvu wakati huna mishe za hela nakujikwamua kujitegemea wews utakuwa pisi kali tu
makalio makubwa huna mishe ya hela wewe pisi kali na sio malkia aa nguvu