JE UNAPOSHIRIKI TENDO LA NDOA LENGO LAKO HUW NI LIPI HASA?
Mwingine anasema mimi ukimwi naogopa sana siutaki
Unafikiria ukimwi kama mzigo wanakuletea tu hata kama unaogopa kikubwa acha dhambi
Kupima ukimwi na mpenzi mpya aisaidii
kupima aisaidii kama umepata mweu leo hana kesho anakuletea
Bila Mungu vipimo bure ofu ya Mungu na kuacha dhambi
Wiki imepita nimepata takwimu nikastuka ndani ya mkoa na wilaya ninayoishi kila siku watu wapya 40 kila siku wanaambukizwa maambukizi ya virusi vya ukimwi wapya jana 40 leo tena 40 wapya wastani huo kila siku yaani kwa mwezi wanapokea Watu wapya ukigawa kwa siku sawa na 40 wapya ...
Nyie watu ukimwi bado upo na leo mwingine ameambukizwa jana ajui ...
Unamtu umepima naye mwaka jana mwezi wa kumi na mbili unauhakika gani yeye ajakutana na mwingine watu tunajisahau tukishapima na mtu mara moja ukumbuki tena na yeye anaweza kukutana na mpya akaleta kwako
Shida sana watu miaka ya sasa awaogopi tena Ukimwi...
Bora mtu aende kuliko kuwa na mtu ambaye kila siku yale yale leo umeona msg za mapenzi kesho utaona ukimwi kwenye damu yako
Nikuambie ukweli mahusiano yeyote yale ambayo ayakupi amani bora kuachana nayo ..
Hata kama mtu hana hela ila anakupa amani ya moyo ni bora kuliko kuwa na mahusiano na mtu amani huna naye
Njia pekee ya kuyashinda magonjwa ya STD ,UTI ,fungus ,miwasho
ni kuwa Mwaminifu kwa Mwezi wako;!
Kwani bila hivyo Hapana siku utapona
Ni pia ni Muhimu mtu awe muwazi kwa mwenzi wake
Tatizo watu ni Malaya sana, anaogopa kumwambia Mwenzi wako kuwa Wana Maradhi haya kwasababu anaogopa ataulizwa umetoa wapi
Game ya UTI na fungus sikuizi asilimia 95 magojwa kama UTI uletwa kwa sexual transmitted asilimia 5 tumwachie choo...
Sasa mfano umeletewa UTI inabidi ili chain nzima ipone wote mnywe dawa unakunywa peke ako kesho anaenda kule analeta tena ..
Baadaye mtu anasema siponi UTI kumbe mara kwa mara analetewa uko naye na yeye yuko naye shida sana ...
UTI Asilimia 95 sex izo 5 tumwachie choo ila maambukizi ya UTI miaka ya sasa asilimia nyingi sex
Hapo bado ile game ya HIV positive free generation begin with you ..
Kwenye kuitafuta ndoa na kuvulia nguo kila mtu ..
Very soon unapata
Umepima naye sawa je yeye amepima naye na yeye yule anaye wake je anapima naye
Wale wote ambao wanafanya maombi zinaa iwakimbie jamani acheni mnajitesa msifanye maombi kama hayo ni vituko
Sauti inatosha au niongeze??