MWANAMKE NJOO KWANZA NIKWAMBIE KITU WANAUME WENZANGU NISIKILIZENI PIA


Wewe Mwanaume USIJE ukafikiria hata siku moja kwamba unamkomoa mwanamke kumzalisha na kumkimbia,hata siku moja humkomoi sana utampa maumivu ya mda ambayo baadae yatageuka kuwa chakula chenye nguvu ndani ya mwili.
Sawa atahangaika na mwanae,masika yote na kiangazi chote,atakula nae kile anachokula,atamvalisha nguo safi hata kama mtoto ananguo tatu tu za kushindia.
Lakini mwisho wa siku utakuja kujigundua kwamba wewe ndio mpumbavu,kiumbe ulichomwachia ulidhani ni jiwe kwamba hakitakua na kupata maarifa.
Watoto kama hawa waliokataliwa sikufichi huwa wanaakili na vipaji vikubwa sana.Wewe zunguuka dunia,kaponde mali lakini kumbuka kwamba kuna uzee,hapo ndipo utakaporudi na kuanza kumtafuta mtoto wakati huo single mom anafurahia maisha na mwanae baada ya juhudi nzito za kumpigania afanikiwe.
Utakuja kukundua kwamba ulitupa jiwe ambalo ndani yake limeviringisha dhahabu,na ndipo mtoto nae anapokukataa.
Mungu azidi kuwabariki single Mom wote...Naimani ipo siku mtaivisha tu matunda yenu.MVUA INAKUJA.
Mwanamke wa ukweli usisahau kushare hii post tafadhali..
May be an image of 1 person

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA