LADIES....!! USICHANA ni wa thamani kuliko jinsia
nyingine yeyote, msichana bila msimamo
huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote
mwenye pesa ya kukidhi hitaji la
kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha
huondoka na kuacha harufu na uchafu wake.

kilichohifadhiwa kwenye bakuli zuri na
safi kikiwa kimefunikwa, ikitokea chakula
hiki huingizwa vijiko na kila apitae ni wazi
kuwa mlaji wa mwisho (mume) hukuta
kikiwa kimechacha, hukuta makombo, nani apendaye kula chakula kilichochacha?? Au makombo????

haifananishwi na kitu chochote, mwanamke mwenye akili timamu mwenye kujielewa hawezi kuwa na mahusiano ya wanaume 100 ila atatafuta sababu 100 za kuwa na mwanaume mmoja! "TUACHE TAMAA" nakupenda maisha rahisi ya shortcut, Thamani yako ni zaid ya gari, Nyumba, ama mabilion ya fedha wewe ni zaidi ya hivyo vitu!



WAKO........UMENUNULIWA KWA THAMANI!




