Unapohitaji kuoana na mtu alie achika jitahidi sana ujue kwa usahihi kilichofanya wakaachana.
Unapohitaji kuoana na mtu alie achika jitahidi sana ujue kwa usahihi kilichofanya wakaachana. Njaa yako isije kukufanya ukajiingiza kwenye gereza lililomshinda mwenzio.
Wengi wao huwa ni waongo sana anakuongopea ili umuone mwema, wakati yeye ndie tatizo.
Kazi yangu ni kukushauri tu ila maamzi yako mikononi mwako, na usiahau kuwa majuto huwa ni mjukuu.