UNATAMANI JUA HUYU MZURI AU MBAYA KWENYE MAISHA YAKO



Usipokuwa makini unaweza poteza kitu cha thamani kisa tafuta mapungufu ya mtu tu...
Hata kama mtu anakosea kiasi gani ukitaka fika mbali naye yafuta mzuri yake ufuta mazaifu yake ...
NIKUPE SOMO
Yesu aliona shetani yu ndani ya petro akamkemea shetani amumkemea petro ..
Alisema ondoka shetani aliyendani yako inamaana kwamba tunapokesea watu tunamfukuza mtu ila atumfukuzi shetani ....
Yesu aliona petro namwitaji akamwondoa shetani aliye ndani yake ili abaki na petro ila wengi tongemwondoa petro sababu ameingiliwa na shetani
Hata kama mtu anakosea kiasi gani ukitaka fika mbali naye yafuta mzuri yake ufuta mazaifu yake ...