MTANISAMEHE MAANA UKWELI UNAUMA ILA NAOMBA SOMA TU ITAKUSAIDIA



JINSI MAISHA YA WADADA WAPUMBAVU YANAVYOKUWA




Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu (utupu) anadhani alizaliwa vizuri zaidi ya wengine.

Kuanzia miaka 18 hadi 24.
Anataka boyfriend handsome, Mwenye pesa, gari, sharobalo na mwenye mavazi ya kila aina au maarufu anawakataa wanaume wengi na kuwabeza anajiona yuko kwenye ubora na anaweza kutembea mpaka na mzungu. Anabadilisha badilisha wanaume na kuwasaliti wengine, hawana pesa, hadhi ya kuwa naye na haoni aibu kuwatemea mate. Hawezi kutembea na mbeba mizigo ataaibika.

Kuanzia miaka 25 hadi 30.
Utasikia nataka mwanaume yeyote atakaye nipenda na kunijali, anajiegesha baa anakuwa bar made wa kuchukuliwa na yoyote tu ilimradi atapewa kidogo na kulishwa, kunywa bia anatumika na kuachwa asubuhi. Bahati mbaya hajajitokeza wa kumuoa kwa sababu rika lake wameshaoa wote
Wanajitokeza tu waume wa watu wanatembea naye tu na kumsaidia matumizi kidogo.

Kuanzia miaka 30 hadi 35.
Utasikia mwanaume ni mwanaume tu ilimradi apatikane. Bahati mbaya hata mlevi hajitokezi. Hapo anajikatia tamaa linakuja libaba lenye kitambi linazaa naye linampangishia chumba anaendelea kuishi.

Kuanzia miaka 35 hadi 40 hapo anahangaika hata mwanaume anayemtaka kuwa mchepuko hakuna analea watoto kwa shida na kodi ya chumba hamna ndo maisha tayari anasubiri afe.

SWALI LA KUJIULIZA JE HAWA WANAWAKE WOTE AMBAO HAWAJAOLEWA JE HAWAJAWAHI KUTONGOZWA ?

JIBU NI HAPANA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA