HUPENDI KUMPOTEZA ila YEYE ANATAMANI MUACHANE.

 




Bila kujali umetumia vi ngapi kwaajili yake, umeonekana huna akili kwa rafiki zako ndugu kwa kuonyesha anafaa pamoja na kasoro zake..
Umekubali kubeba lawama zote ila awe salama tu. Wakati mwingine unaitwa majina mabaya kwa ajili yake. Umekubali kutengwa na ndugu au jamaa zako, zaidi umekubali kupoteza vingi ili umheshimishe.

Mwisho wa siku anakuletea vituko au anakuambia wewe si mtu wa sifa zake anomba muachane! Bila kujali muda wako, uliyoyavumilia, ulivyopoteza nk

Kuna wakati watu hushindwa kuipokea hali ya kuachana kirahisi na akili humtuma kulipiza kisasi au kuumizana wote. Ukimuona mtu kafanya jambo zito haupaswi kumlaumu maana haujui alipoteza vingapi kwa ajili ya mahusiano hayo.
Kwa sasahivi kama una mtu una mwendesha kwenye mahusiano yako, hakutishi, una weza amua lolote na bado anajitoa ki vyovyote hata kama huliziki na anavyo nitoa basi tambua huyu dada kaka ana hesabu kila analofanya kwako... Kuna muda hawafanyii wazazi wake, wadogo zake ndugu zake ila wewe anakufanyia lakini hakuna appreciation yoyote bado huna mipango kama yake yeye anawaza wewe ndio mke wake ila wewe huoni lolote juu yake umeshamsaliti na una msaliti na wengine unaona wanafaa kwako,, kwa tamaa zako hizo lakini hata ulipo msaliti hakuthaminika umeambulia kujidhalisha tu kaka wa watu dada watu amekusamehe na kujisema labda ni ujinga tu utabadilika... Sasa hivi unataka muachane bila sababu yoyote... Eti humpendi tu... Eti huna hisia naye tu... My dia siyo kifo unachokitafuta ila unajiandikisha kwenye kundi la umalaya wa kudumu hautakaa ukawa na mahusiano ya maana, hakuna kitu utafanya kitasonga mbele.. Mwenzako alisemama kwenye amri ya Mungu ya upendo wewe umeonyesha tamaa zako hutabaki salama my dia na ukiuwawa usitafute mchawi piga hesabu ungekua wewe ungeweza.?.
Kutowajali wazazi ila ukamjali yeye leo kuna watu ukiwauliza mara ya mwisho kutuma pesa kwa wazazi wao ilikua lini na walituma shi ngapi hana kumbu kumbu lakini mpenzi wako jana tu kakutumia laki, zawadi kama zote ila unajikuta matawii.

Kama haujawahi kupenda na ukaingia gharama naomba unyamaze siku ukipevuka katika kupenda ndipo uje uandike hapa kwa leo soma comments tu

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA