HIVI KWANINI WADADA WANAOPENDWA WANAKUJA KUOMBA UISHAURI WAKIJINGA?

Hivi kwanini hii bahati ya kupendwa na kuthaminiwa Kama Hawa wadada wanaokuja kuomba ushauri Kwa mambo yao ya kipuuzi sipati na mmekua wengi wadada mnaojaliwa na waume zenu lakini mmefanya marafiki ndo sehemu ya Maisha yenu.
Mwisho wa siku mnaharibu ndoa Kwa ujinga wenu mnakuja kumsumbua kaka wa watu awape ushauri, ushauri Gani unaoutaka mana hata ukirudia kusoma mwenyewe ulichoandika utajiona mjinga mpambane na Hali zenu bwana tumewachoka
UKWELI NI HUU; (1) Wanawake wengi wakikutana na wanaume wapole basi wanajisahau, mwanake unamfanyia mwanaume kituko kimoja, anakusamehe haongei, unaona aa kumbe huyu Boya, hana kauli mbele yangu basi unamjaribu tena na tena. Ubaya ni kuwa mwanaume akiamua kubadilika hageuki nyuma, wanaume wachache sana wanasemehe samehe!
(1) Kila mwanamke mwenye mahusaino mazuri ana rafiki yake mmoja ambaye mahusiano yake ni mabaya na huyu rafiki anamuonea wivu sana na kwa bahati mbaya ndiyo mshauari wake mkubwa. Hii ni kwasababu wanawake wanapenda kujionyesha, kujishaua, sasa kama uko kwenye mahusaino mazuri huwezi kujishaua kwa mtu kama wewe, unatafuta uliyemzidi.
Ubaya ni kuwa, rafiki yaklo anayeteseka kwenye mahusaino kama kila siku unaenda kuomba ushauri wa kijinga jinga anakuonea wivu anakuharibia. Mfano, Rafiki yako katoka kuachika, katelekezewa mtoto hata chakula hapewi, wewe unaenda kujishaua kulalamika;
“Mume wangu nimemuambia aninunulie simu mpya ahataki kila kitu anawaza kujenga tu! Pesa yake yote inaishia kujenga mimi hata nguo mpya haninunulii!” Hapa rafiki yakoa anakuona kama unamchora atakushauri ujinga ili mkose wote na ukizubaa anaenda kutembea na huyo mwanaume ambaye anampondea kila siku!
May be a close-up of 1 person and text that says "@zirani MAGAZINE"
940
55 comments
14 shares
Like
Comment
Share

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA