Anasave shilingi ngapi kila mwezi ili weka pesa ya kukutolea mahari au ndio we acha tu


Wanaume wenye akili anajipange unampenda mtu unataka awe mtu uwe unaweka akiba angalau kila mwezi ya malengo hiyo akiba isaidie toa posa pia ukishamwoa binti wa watu iyo akiba usiache iwe ya familia ..
Ukitaka oa bila kuweka akili utampenda binti wa watu huna posa 😭😭
Utaacha binti unasema nataka mwingine kila siku
Kama huna mil 3 wewe sio mwanaume wewe ni kijana hata kama umri unaenda mwanaume anatakiwa awe na 3m ili awe mume soma hapo
NIMETOA ELIMU NZURI SANA YA USHENGA ILI IKUSAIDIE KIJANA UNASEMA UMEMPENDA BINTI WA WATU JIPANGE
KIWANGO CHA KAWAIDA SANA MAKABILA MENGINE FAMILIA NYINGINE HADI MIL 15 ILA BAJETI NZIMA ANGALAU UWE NA 3 MIL APO MAFUTA WASHENGA USAFIRI
Je unayo 3,000,000 full hapa barua na mahali angalau uwe na kiasi iki...
Hapo unaweza sema nataka kuoa ... UNAMTAKA BINTI AWE MKE
KIWANGO CHA KAWAIDA SANA
Je unayo 3,000,000 full hapa barua na mahali angalau uwe na kiasi iki...
Hapo unaweza sema nataka kuoa ... UNAMTAKA BINTI AWE MKE
Mfano waisi iringa beba washenga mpaka mwanza bajeti yaweza kama 400,000 hapo basi na chakula lodge ...
Ungekodi gari ya yenu inaweza fika 1 mil hapo usafiri tu kwenda na kurudi chakula
Mfano kama mzazi makabila mengine familia ndio ambayo mahari bei rahisi sana
Uanzia 1 hadi 2 ...
Yaani hata wewe uwe baba angalau binti yako kalipiwa mahali 1.5..
Makabila mengine kama wachaga hadi mahari 5 mil kawaida
Izo zote hapo juu kawaida ...
Mfano wakaa mbali na wakwe miji wewe waishi mbeya umeoa kigoma kunamagharama hapo ya usafiri safirisha washenga kaa gesti na mambo mengine kibao ..
Ndio maana nikasema angalau peleka ukweni andaa 2 mil na ya mambo mengi kama safarisha washenga andaa 1 mil pia the more the distance the more the money...
Distance ikiwa ndogo wazazi wako karibu na wewe shukuru ile unaazima gari kwa mwana unatia mafuta elfu 20,000 washenga wanalala kwao ....
Unaweza bajeti yako ukaanda labda 1.5 hadi 1.8 umetoa mahari sio umeoa ..
Kumbuka mbali umepeleka barua safirisha washenga barua hela wanarudi baadae tena posa. Hela nauli mkoa wa mbali labda waishi Songea umeoa mwanza
No photo description available.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA