WANAUME TU Mjue MWANAMKE MTAFUTAJI na UMUHIMU wake ktk maisha yako
Mara zote wanaume tumekuwa tukiponzwa na Tamaa ya Ngono inayo sababishwa na macho. Hali ya kuvutiwa na mwanamke mwenye sura nzur..makalio makubwa imepelekea weng kukimbilia uzur wa sura na maumbile na kupoteza Mke bora...
KAKA pamoja na pesa ulizo nazo tambua utamuendesha na kumtumia utakavyo Mwanamke anae jivunia mwili wake ili apate pesa.. Huyo utamfanya utakavyo hata umsalit mara ngap hawez kukuacha sababu bado anazitaka pesa zako
KAKA mwanamke mtafutaji na anae jua thaman ya mwili wake kamwe hawez kuwa mtumwa wa pesa zako.. Ana uhakika kuwa anaweza tumia nguvu na akili yake kujipatia pesa na sio ngono.
Mwanamke mtafutaji siku zote anajiamin na hapendi kuyumbishwa yumbishwa
Mwanamke mtafutaji anajua mda gan avae vizur na atoke kwenda matembez na mda gan ashinde shamban..ofisin au kaz yoyote inayo mlipa.
Mwanamke mtafutaji hana mda wa kulilia penz ambalo anaona halina mwelekeo. Mapenz kwake ni ziada tu akili yake ipo ktk kaz na pesa tu zile za jasho lake.
KAKA una kila sababu kumheshimu mwanamke anae kesha usiku na mchans kutafuta maisha.. Ukiwa kimapenz na aina ya huyu mwanamke afu uksheshimu mchango na mawazo yake kisha mkatafuta mtaj na kuwekeza kwa kila anacho kifanya bas ndan ya mda mfup mtajenga na kumilik magar.
Mpe fursa mwanamke wako
Mpe uhuru mwanamke wako
Heshimu mawazo ya mwanamke mtafutaj maana kuna siku ndiye atakuwa chachu ya mafanikio yenu.
Hongera kwa WANAWAKE wajasiriamali wote munao amin ktk kaz na sio wale wanao lala mchana afu usiku huwinda waume za watu.