SABABU ZA KUOLEWA na KUTO OLEWA kwa MWANAMKE MZURI
Mwanamke mzur ina maana tofaut kwa kila mtu kulingana na mawazo yake. Wapo wanao amin ni yule
Mwenye sura nzuri. Makalio makubwa na umbo zuri na hata sauti... Wapo pia wanawake wanao jitambua ni wazur ila hawaolew kwa sababu
Uzuri wako unamfanya ataminiwe na wanaume wengi kingono
Ktk umri wa miaka 18_25 mwanamke hua anavutia zaidi kutokana na mabadiriko ya mwili wake . yaan mwili mzima unakuwa na nuru ktk kipindi hiki wengi(wanawake) waga hawapendi kujishughulisha coz kila kitu atapewa tu na mwanaume/wanaume pia ni rahisi kuvunja mahusiano maana anajua wapo wanaume weng wanao mtaka
Mdada kipind hik hujiona yeye ndo yeye akipost pcha like zaid ya mia comments zaid ya 50 wote wanaume walio ktk ndoa hata wasio ktk ndoa watamtongoza.wapo atao wakubalia sababu ya kipato chao na umaarufy wao
Umri huu weng huwa hawafikirii kuolewa na akiwaza ndoa bas atataka mume mwenye gari..pesa na kaz nzuri..hapo hujikuta akisema
"Mwanaume pesa sura hata mbuzi anayo...
lakin akimpata mwenye pesa ila hamridhishi atasema
."mwanaume Mashine bana pesa makaratasiwake
Hapo ndo wanaume tunapo data hasa unapo ona jamaa mwenye pesa zake kampatia gar ya kutembelea mke wake lakin mke bado utasikia anachepuka na vitoto vidogo akivipatia pesa alizo tafuta mume wake
Baada ya kushinda Club za usku kulewa na kujiuza.. baada ya umri kupita ataanza kuona sasa mvuto wote unapotea umri unayoyoma urembo unatoweka hatari ya kutoshika mimba tena itanza kumzuzua(menopause) baada ya damu ya hedhi ya kila mwezi kukoma.Hapa ataanza kufikiri kuingia ktk ndoa lakn wanaume wengi wa umri wake watakuwa tayari wameshaoa na wana familia zao
Wanaume walio mkimbilia mwanzo wanaanza kutembea na wadogo zake..wengine huo marafik zake.
so hapa ndipo wanawake wengi hujikuta wanakuwa wamama wa kanisani wakiomba na kufunga ili wapate baraka ya ndoa kuhusu tabia au mali watasema Mungu atayanyoosha tu,
Lakin huwa baada ya kukesha kumbi za starehe na kutoa mimba na kuharibu kizazi..hapo ndo hukumbuka kuna maisha mengine baada ya anasa kuisha
"Naomba Mungu anipe tu mume mwema kama pesa zinatafutwa..."
MWANAMKE MZuri wa umbo na sura anaolewa kwa sababu kadhaa
Kwanza ni yule mwenye hofu ya Mungu
Anatambua uzur wake lakin anaishi maisha ya. Kawaida na kujitunza
Anamuheshimu kila mmoja
Akilin mwake anawaza kupata mume bora na sio pesa nyingi.
Mvumiilivu na mwwnye msimamo wake wala hazuzuliwi na tamaa ya macho..
Hivyo WANAUME tutambue kuwa sio kila mwanamke mzur ni Malaya..wapo wanao jitambua na kujiheshimu..
DADA uzur wa dukan usikufanye uhis upo ktk dunia ya kwako.. NDOA ndo heshima ya mwanamke na ndoa umpate mwanaume mtae pendana na kuheshimiana...ukiachwa kwa upuuz wako una anza ngonjera
"HuweZ pata mrembo kama mimi..siku ukioa nioneshe mkeo najua hawez nizd"
Anaweza asikuzid makalio lakin akikuzid tu akil ya maisha inatosha
Uzur wako ni wa mda tu hivyo punguza dharau maana utaishia kuhudhuria harusi za mashoga zako na wadogo zako.
Uzur wa mwanamke ni tabia mengine ziada tu. ..