UKIYAJUA HAYA MAMBO UKAYAWEKA MOYONI NDOA YAKO/UCHUMBA WAKO UTADUMU MILELE
Daima..
1. Mwambie yeye ni mzuri na sio uko sexy au hot2. Mshike mkono wake kwa kuwa unampenda na sio unazingua
3. Mtumie sms nzuri ya kumwamsha asubuhi
4. Cheza nae michezo mingi na mfanye ashinde yeye
5. Mkumbatie mara kwa mara mgongoni kwa kumshtukiza
6. Usijirushe na x wako wakati yeye hayupo hayo sio mapenzi hayo.
7. Kama unaongea na binti mwingine mkiwa pamoja ukimaliza maongezi rudi na kumkisi mpenzi wako.
8. Mtumie sms au kumpigia simu na kumwambia unampenda.
9. Mtambulishe kwa wazazi, ndugu na marafiki na kuwaambia kuwa ni mpenzi wako
10. Penda kuzichezea nywele zake na kuzisifia
11. Jaribu kutoka nae hata kama atakataa
12. Onyesha kuumia ukigundua watu wan