sms nzuri kwa mpenzi | Meseji za Mahaba

Iddi Makengo - KAMA UNACHEPUKA USIJE KUACHA NDOA YAKO... | Facebook

Just mtumie meseji moja kati ya hizi uone majibu yake;.
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? 
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni 
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa 
nakupenda, niamini mpenzi
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamunakupenda mpenzi*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*”Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe”nakupenda laazizi”Kama mimi nilikuwa na maua kila wakatimawazo yangu yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla yako je wewe ungekuwepo nayoungempa nani kwanza? “*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Figganigga•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi.nakupenda sana laazizi •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa unaempenda•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo ” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwisho akunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana Figganigga•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku wakigombana wataachana.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujua furaha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibu nami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangu tabibu ,we ndo wangu wa manani.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
>>———>>> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk 
maisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uache uchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenzi
unayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwa sasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
Ni yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si meseji kunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadi mawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tu.naamini haliya kawida itarejea namajonzi moyoni yatanipoteanakupenda mpz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nimezunguka pande zote za Tanzania machonikiyaangaza kumsaka mrembowakumkabidhi wangu moyo wenye upendondani yake na kulila TUNDA lakekwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiyeulie uteka moyo wangu. nakupenda laaziz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto . Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahi nikiwa mimi,•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijute nakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkuta amelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambie nampenda sanaaaaNilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati ,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezi kuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Je unakubali au unakataa kwa mujibu wa sheria ya mahakama ya mapenzi kifungu cha mahaba unahukumiwa kuwa na mimi milele,unaweza kukata rufaa kama hujatendewa haki.sawa?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbal nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• kamwe cwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu cku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwez kuipeza,nakupenda wewe pekee•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•kiangazi aumasikakukupenda nitawajibika kwenye chupa au birika chai yako ya uhakika ,iwe ndoo au pipa ujazo wa penzi kimiminika.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ila nikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila 
kujali.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz ni zawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi gani unanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lako haliwezi futika.NAKUPENDA•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•yapitayo mdomoni yametokea moyoni ,uyaonayo hadharani nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa haya nisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Nakupéndä mpènzi wèwè ùnåumuhimu mkubwa kwenye maisha yangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalo halitapona .nakupenda sana Figganigga•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwa dakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweli usio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyoni mwangu nimeridhia. . . .nakupenda daima mpenzi!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langu nakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penzi letu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha hamu,nitakupa mwili wangu ucheze nao hadi asubuhi,nitakulisha unachokitaka,sitakubania kwani naogopa wengine wanaweza kukupa. . . .njoo leo uniambie unataka nini?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo,kuridhishana,kupeana bila kubaniana,kubusiana,kuheshimiana,kujaliana,kusubiriana,kusikilizana.je utaweza kujifanyia yote hayo?nijibu mpenzi. . •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Ikiwa penzi langu kwako litakufa halitazikwa,ikiwa moyo wangu ni mwandiko hautafutika na kama dhati yangu ni machozi daima hayatokauka na wewe kwangu ni damu ngozini haitochuruzika ila mishipani. . . .•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunia nzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioisha hamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulisha unachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. . .njo leo uniambie unataka nini?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonga nikaribishe na penzi le2 2listawishe.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi mazuri yanasifa zifuatazokuridhishana,kupeana bila kubaniana,kubusiana,kuheshimiana,kujaliana,kusubiriana,kusikilizana,je utaweza kujifanyia yote hayo?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa km mfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibika moyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufa usiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najua wanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwa uzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•wengi walisema penzi letu lisingedumu,lakini leo twawaacha midomo wazi kwa misengenyo yao isiyo na maana ,tuendelee kupendana,wanafiki roho ziwaume!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•kama ni usafiri wewe ni gari salama,kama ni kiwanda wewe ni namba moja ,kama ni maji kwako kuna chemchem,kama ni mapenzi kwako nimefika,niahidi utakuwa nami siku zote maishani mwangu.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushika daima.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo tambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupo anayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudani tambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hata km upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangu mtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tu mwenye thamani kwangu katika hii dunia.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikumbukapo kumbato lako, nakupenda mpenzi.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba, napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupa mahaba yanayozidi shaba. Nakupenda Figganigga[ mtaje jina].•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitoto na zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto, nahitaji uwe wangu mama watoto!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nashtumiwa kwa kumpenda mcchana mmoja aliyeutesa moyo wangumahakama imenihukumu kifo kwa kunyongwa na kamba upendo lkn kwa msamaha wa raisi mapenzi nmehukumiwa kuwa mwaminif kwake nakumpenda zaidi ya hapo daima milele.nakupenda mpz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumu kufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwa kuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye na mashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhat na mapenz mazito zito, •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutaman kukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ila mwili wangu upo kwa ajili yako dear•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi…•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea amini. Elewa mimiwako sikuachi asilani•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyoni mwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wako daima, nakupenda dear…•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear…•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewe nitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sana…•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamunakupenda mpz•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo ,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•,,,,,,,,,,,,,|~<¤>~|”””””””'”””Naomba upokee zawadi hii ya kiwembe. Amini ndicho kilichotumika kufanyia operation kwa kupasuliwa moyo wangu, kwa sababu nimeoza kwa ajili yako, nimeambiwa ili nipone maradhi haya nipate:- (1)ushirikiano wako (2)furaha 
yk, (3)upendo wk, (3)tabasam yk.
Je! uko tayari kuokoa maisha yangu? •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha.Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiac hk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl na unitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin. Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwa ukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.Nakupenda kipenz cha moyo wangu.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya ndoa,wengiwatakuambia maneno kila kukicha,lakini nakuambia wapoambao kwa hakika watakaokuwa wamelenga kutia doa ndoa yako,rafiki yangu kipenzi kwani wengi waitamani ndoa lakinihawajapata wa kuwaowa•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 
/”””””””””/!
/ %¤ / !!”””””””””! !!………!/
Ndani ya box hili kuna silaha tatu za maisha ambazo ni
Aman, Upendo na Furaha, zawadi maalumu kwa watu muhimu 
kama wewe.”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mti usiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww ni mrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwani na kupenda xana tabua hilo mpnz wangu*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
upendo sio tigo eti ongea kwa nusu shilingi wala sio voda 
kazi ni kwako, pia sio airtel jisikie huru bali upendo ni zawadi pekee sana mungu aliyoiweka ndani ya mioyo yetu.hili ni la kuzingatia dear nakupenda sana*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenye kukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapende wanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo la akupendae kwa kila mara japo sekunde moja. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya ,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz Figga.●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazi kwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenye kachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenye mkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakini hauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. Nakupenda Mpenzi*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe .*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji?*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi na mapenzi huanza na mimi na wewe.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchana hazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje, ‘tunafiti’ kuwa pamoja.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kuna bahari kati yetu. Misitu na milima inatutenganisha, mimi si ‘Supamani’ lakini nipe sekunde moja nitavuka nchi nyingi kukutumia mapenzi yangu. Umeipata hiyo?*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemka na kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utani pia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezi kukosa nafasi ya kukuweka. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili, nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamoja nawe nimelipata.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kila mtu anataka kuwa jua linalong’arisha maisha yako, lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wa giza ambapo jua limechwea na haliangazi tena.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali. Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unaweza usihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangu tu uliyoyaficha hayo.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia ni majani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangu bure.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Dunia tofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja, hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Watu husema kwamba, awapo mtu mmoja tu akupendaye, maisha hayajapoteza maana, kwa hiyo, ukijihisi mpweke hauhitaji kuishi nikumbuke mimi.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko na furaha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha mara 
nyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapa 
kukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtu 
anayekujali.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Chuki huharibu akili; mapenzi huitibu. Umeitibu akili 
yangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali ni 
vigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali?
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wa 
kukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho, 
bali sipendi ulie peke yako.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ningependa siku moja utamani sana kuwa na mimi, na 
uhangaike sana kunitafuta, ili ujue ni kwa kiasi 
ninavyotamani kuwa nawe sasa.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kila 
ndoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakia 
mafanikio mema kwasababu nakujali.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na 
maumivu yake ndani yangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa muda 
fulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, na 
huyo ni mimi mara zote nakujali.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakini 
tafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu 
usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, 
lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka 
sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi 
sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia, 
hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasa 
naogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosa 
katika maisha yangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo 
ambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kila 
ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua 
kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini 
kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka 
moyo na akili yangu pia.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufua 
yaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yote 
yaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangu 
kwa kuwa tunapendana!
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mpenzi wangu T tambua kuwa ulimwengu tunaoishi una mambo 
muhimu matatu. Jambo la kwanza ni kumpata umpendaye, la 
pili ni kupata atakayekupenda la tatu ambalo ni kubwa 
kuliko yote ni kwa jambo la kwanza na la pili kuungana 
pamoja.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ni vigumu kumpata mwenye mapenzi ya kweli na zaidi yule 
atakayekuwa tayari kukupenda zaidi, hivyo nafasi 
inapopatika si busara kuichezea tudumishe penzi letu 
laazizi wangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu ni 
kubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe ni 
mtu muhimu sana maishani mwangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wangu 
hupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hana 
sifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wa 
kumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu.
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nakupenda mpenzi wangu, sifikirii kitu chochote zaidi yako na kwa kuwa nakupenda sipendi kuwa na urafiki hata na msichana kwani atakuwa anabana nafasi niliyokuwekea wewe. Noamba unipende nami nakupenda kila sikunde inayopita maishani mwangu. Mwaaaaaaaaa Figga.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Penzi lako ndiyo pumzi yangu nawezaje kukuacha laazizi, ina maana nife??? Siwezi kukuacha nakupenda. Nitakupenda mpaka mwisho wa uhai wangu.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwamba mwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linaweza kusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na 
wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Kama upendo ni tone la mvua nakutumia !!!!!!!!!!!!!!!Kama furaha ni ua nakutumia maua
*%*%*
)!(( )kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa. ’12’ .9 _/ 3′ .6. ‘kama maombi ni maji nakutumia bahari-_-_-_-_-_–_-_-_-_-_–_-_-_-_-_-kama mafanikio ni majani nakutumia miti,:*”*;, ,:*”*;, *;% ,,* *; %,,*__)(__ __)(__ kwasababu nataka uwe na furaha cku zote*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
.:””””\_____.-.-._( 0 .———–”—‘Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 & kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe…………………………
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka kuna akupendaye naye ni MIMI!.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET FIGGANIGGA “*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO” *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?”*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*tazama, nimezamandani ya baharila penzi lakosiwezikusonga mbelekurudi nyumasijielewihaya mapenzi ya fujo hayafaikama wanipendajaribu kunipa raha*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na liku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2 Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi Mwenyewe Silijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus. Nakupenda Xana Dia*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema mpenz*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzo ktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kabla hjalala.g9t*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*pendo la dhati lina sifa zifuatazo,kuvumilana,kusubiriana,kujaliana,kushauriana,na La Mwisho Ni Mimi Na Wewe.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Neno Nakupenda Hutamkwa Kwa Lugha Legeeevu Yenye Kuambatana Na Hisia Nzito Zilizofikicha Mioyoni Mwetu,hutamkwa Kwa Kauli Bashasha,nakshi Na Hofu Ndani Yake.raha Yake Umpate Anayekujali Kama Mi Ninavyokujali 
Nakupenda Mpz *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini Kukupenda 
Wewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*ahsante mpz kwa kujua thaman yangu kwako,nashukuru umegundua hisia zangu mapema naomba unipe hifadh ya kudumu ndani ya wigo wa mtima wako.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Nakupenda zaidi ya Armasi inayo chimbwa ardhin,sipendi nikupoteze nikajutia Moyoni,naitaji nikuenzi,km mboni yng machoni.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,sababu we ndo 
wangu kipenZ,na sina mwengine lahazz.*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Mapenz yk hasari kwa mwengine sitamani,umeniteka akiri,mpaka najihisi punguani,nakupenda sana mpenzi!!*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Ewee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Wangu hayuni mwenye upendo wa dhati,hakika 
nakupenda,mwengine sitamani,hamin mpenz kwa zangu hiz tenzi..!*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toawasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua…………..Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si rafiki ni ndugu nnaekujali………Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu…….Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona ………ndege tausi alimuuliza kasuku “hivi kuna viumbe wazuri kuliko sisi duniani?”kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii………..Giza ndiyo laingia natamani ungekuweponipate kukumbatia, hakika nimechoka mtokukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria, nakumiss dear fanya hima nyumbanikujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda 
dear………Penzi langu maarufu nakupa unienzie, Tena ni penzi nadhifu hilo lazima ujue, Wala si penzi la khofu wasiwasi likutie, Ni penzi la insaaf nampa nimpendae,Kama kupenda mauti kwako nitayarikufa,kama kupenda maradhi dawa kwako natafuta, kama kupenda bahati mwenzako naitafuta ,naomba nipe nafasi mwenzako nataab Na wala sitampa mwengine anayefanana na wewe………………………………….UPENDO si ndege ukaonekana angani, UPENDO si tunda lichumwalo mtini,UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,UPENDO si picha yanguningekutumia baliUPENDO ni thamani iliyokomoyoni mwangu.nakupenda na nakutakia usku mwema……………………salaam ni 1,nuru humfariji aliye na huzuni 2 ni jahazi huvusha aliye ng’ambo 3,pia ni nuru huangaza gizani,wewe ni lulu yangu nakupenda xana,………………….”Umbali si shari ila kujua hali ni mali”,”jambo la wema ni asali ukimya ni ajali”, “japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali”I LOVE U…………………………..Nikwambie ki2? Kuna m2 nimetokea kumpenda,,,,STATISTICS ya tabia yake ni ana RELATION nzur na wa2,SERIES ya maisha yake ni PROBABILITY kuijua,ila napenda jinsi anavyo CORDINATE na wa2,nafurah kwa kuwa naongea nae SIMULTANEOUSLY,ila naamin ubongo wake una FUNCTION atajua kuwa nampenda yaan nahic kama nikokwny CIRCLE kwan najitahd kumpuuzalakin is very long MATRIX .Nafikir ushamjua kwan shep yake ni SIMPLE POLYGONnamzungumzia MATHEMATICS!! Chezea………………………….Naitaji kuku enzi na si nikutoe machozi,sababu we ndo wangu kipenZ,na sina mwengine lahazz………………………….wee wangu wa huba,mwenye tabasamu la mahaba,hakika n/penda, kwa mwengine sito kwendaaa….!!!………………………Nashndwa kulala haja ya moyo wng naijua machoz hayansh homa ya mapenzi naugua……………………………..Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako,utawaliwe na
usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba
ujenge taswira yangu katika mawazo yako,Usisahau kuniotasweet wangu. USIKU MWEMA………………….Asali wa moyo wangu,fahamu kuwa unaweza kuamini kwambamwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba,jua linaweza kusimama, 
lakini usiwaze hata siku moja kuwa naweza kukuacha.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA