MAHABA YA KIPWANI MATAMUUUπππ πUNAJUA JINSI YA KUMUANDALIA BWANA CHAKULA CHUMBANI KWAKO.....???




































CHUKUA CHETEZO TIA UDI WAKO JIFUNGE KANGA YAKO MOJA TUU JEUPE UPANDE MWENGINE MUWEKEE BWANA, JIFUKIZE UDI UKIMALIZA KAA UMSUBIRI BWANA 













MWANDAE BWANA AKAOGE AKIRUDI CHUMBANI MFUTE MAJI MVALISHE KANGA YAKE MFUKIZE UDI MUWEKE KWENYE MSWALA MWAMBIE KARIBU MUME WANGU CHAKULA 
MNAWISHE MIKONO YOU UNAMUANGALIA USONI KWA JICHO LA MAHABA CHUKUA TONGE MLISHE NA YEYE ATAKULISHA MPE MANENO MATAMU 



HAYO NDIO MAHABA YA PWANI UPO NYONYO?????





















