DHAMANA KUBWA YA UPENDO πŸ’ž WA MWANAMKE NI KUMMILIKI MWANAUME.





Usidanganyike na UPENDO πŸ’ž WA MWANAMKE ikiwa haupo kwenye HIMAYA yakeπŸ€”

Kwanza ifahamike kwamba MWANAMKE NI MSIRI WA UPENDO πŸ’˜ 

Ikiwa Mwanamke anakuonyesha UPENDO kwa namna unavyoweza kuuhisi wakati huo haupo kwenye ulinzi wake niamini neno hili:-

▪ AMEKUFANYA RAFIKI.

Mwanamke ni MJUZI WA KUFURAHIA KAMPANI na hilo limewapofusha wanaume wengi wakadhani WANAPENDWA kumbe wala hawajafikia VIGEZO vya kupewa PENDO LA KWELI πŸ’ 

Ili Mwanamke ampende Mwanaume ni mpaka AMPE UHURU WA KUMMILIKI maana yake awe na hakika kwamba UPENDO πŸ’˜ WAKE AMEUWEKA MAHALA SALAMA akiwa na maana kwamba yupo peke yake πŸ˜‚πŸ˜‚

Kinyume cha hapo NAO NI WAWINDAJI 🏹 TU muda wowote anaweza kukulengaaaaaaa 🀣


DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA