MWANAUME AKIWA NA AMANI NDIPO HUFIKIRIA MAPENZI

 Mwanamke fahamu jambo hili;-


πŸ’―
Mahusiano na ndoa nyingi yameghubikwa na usaliti kwa sababu ya watu kutosoma tabia halisi za wenza wao, Muda mwingi nimekuwa nikifundisha somo hili la KUMJUA MWENZA KABLA HATA YA KUMPA NAFASI AKUMILIKI iwe mwanaume ama Mwanamke!!
Muda Mwingine huwa naamini kila mtu analo pendo kwa Mtu aliyemvutia hasa kwenye MAPENZI.
Sababu ni ndogo tu MTAZAMO WA MTU KWA MTU MWINGINE hujengwa na haiba ya mtu mwenyewe,
Mwanamke hebu jiulize swali hili pamoja nami;-
πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME ANAPOKUWA NA AMANI UNAKUWA WAPI?
Kwa dunia tuliyopo wanawake wengi ndo wenye hakika ya maisha kuliko wanaume na hata wanaume wanajua hilo ndo maana kutwa wanawatafuta wanawake wenye nafasi kuliko wasiokuwa na kipatoπŸ˜‚πŸ˜‚
Kila Mwanamke anajaribu kupambana kutafuta pesa ili awe na hakika ya mahitaji yake mwenyewe, na wengine wanakwenda mbali zaidi kutaka mwanaume aliye chini yake ili amhudumie na kumtimizia mahitaji yake akidhani hilo ni DHAMANA YA UPENDO WA MWANAUME KWAKE na kumbe ni Sawa na kumfuga kunguru πŸ¦… wakati starehe yake kuzurula akitafuta chakula majalalani πŸ˜‚πŸ˜‚
Unampa AMANI Mwanaume Halafu wewe upo busy kumtafutia hela ili asikuache mwisho kabisa ni MWANAUME KUWA NA MWANAMKE MWINGINE haijalishi ni level yako ama hana kiwango kama chako ili mradi ni MwanamkeπŸ’‰
Nguvu za kiume kwa Mwanaume yeyote ni PESAπŸ’―
Pesa ndiyo humpa AMANI Mwanaume hata akajikuta anafikiria NGONO kinyume chake HAKUNA MWANAUME ANAWEZA KUTAKA NGONO KAMA HANA PESA otherwise umemuahidi kumpa pesaπŸ•ΊπŸ»
Mwanamke kukubari kuwa mtumwa wa MAPENZI ni pale anapoamua kumlea Mwanaume akiamini hiyo ni fimbo niamini maneno haya;-
πŸ‘‰πŸΌ MWANAUME AKIWA NA AMANI NDIPO HUWAZIA MAPENZI KULIKO KAMA HANA PESA.
Kwa tafsiri hiyo kama Mwanamke unampa AMANI mwanaume hakikisha kwamba UNAKUWA KARIBU ili hali ya yeye kutaka MAPENZI ikiinuka uwepo hilo litakusaidia kukabiliana na MIHEMKO YA KIUMEπŸ•Ί
Hata upande wa Mwanamke ni kama Mwanaume, Mwanamke anayekula na kushiba akikosa MAPENZI Kabla ya MP ama baada ya MP niamini ukiwa mbali UTASAIDIWAπŸ˜‚
Usimpe AMANI mwanaume ukawa mbali nae lazima atachochora, vivyo hivyo kwa Mwanamke Usimpe chakula akashiba halafu uko mbali WAJUBA WATAMLA🀦‍♂️
Image may contain: one or more people and people sitting

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA