Kwa wale wenye ukavu sana wakati wa kutumikia ndoa basi hii inawahusu
Chukua uwatu wa unga robo kilo kharafu chukua na maji lita moja na nusu
Upo mwari matumizi sasa 





Utatumia kipimo cha unazo wa kahawa utakuwa unatumia mala 2 asubuhi na jioni kikombe kimoja mpaka dawa iishe
In shaa Allah kwa uwezo wa Allah huo ukavu utaisha na utalifurahia tendo LA ndoa mwari
wangu habali za kulalamika maumivu wakati wa mechi kwisha khabar yake 

Waume wakumbushe dawa wake zenu
Mwisho


