HII NI KWA DADA ZANGU AMBAO HAMJAOLEWA BADO LAKINI MNAMPANGO WA KUINGIA KWNEYE NDOA SIKU MOJA!
Nadhani kitabu changu kinakufundisha namna ya kuishi na mwanaume wa aina yoyote ile. Nikiri kua kuna hatua ambayo katika mahusiano ni ngumu sana kukitumia kitabu changu na ukafanikiwa kumfanya mwanaume kubadilika. Lakini huwa nasema kama hatakikubadilika badilika wewe!
Lakini kwa nyie wadada ambao hamjaolewa, nilitamani sana wote msome kitabu changu. Hii ni kwasababu kwasiku napokea meseji zaidi ya mia moja, nyingi ni za wanawake ambao washaolewa au wale ambao huishi na wanaume tayari.
Wengi wao huelezea matatizo yao na imefikia hatua kuwa jibu ninalowapa na jibu lililobaki ni kuwaambia “Ondoka huyo mwanaume atakuua”. Lakini matatizo yao hayakua makubwa hivyo, waliyalea wenyewe na kama wangesoma kitabu changu mapema au wangeniomba ushauri mapema wasingefika huko.
Hii ndiyo maana nasema kama wewe ni binti ambaye siku moja unatamani kuingia kwenye ndoa au mahusiano ya kudumu basi hembu tafuta hiyo elfu kumi, soma kitabu changu, ndiyo mimi nitapata hela lakini unaweza kupunguza kiwango cha machozi katika ndoa yako.
Watu wengi wanaoumia sasa na kulia kila siku, walikua wanapendwa kama wewe, lakini walikosea kidogo na sasa wamekua wahanga na hawawezi kugeuka tena. Hembu chagua furaha, soma kitabu na kama hutaelewa, nipigie, kwanini ufanye makosa utakayoyajutia maisha yako yote?
Kukipata kitabu hiki basi lipia shilingi elfu kumi kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222. Ukishalipia utatumiwa kitabu kwa njia ya Whatsapp, Email-PDF au Facebook.