Ijue tofauti ya USALITI wa Mwanamke na Mwanaume;-


👉🏼 USALITI WA MWANAMKE⤵️
Ni shauku ya kutafuta AMANI baada ya kuona mahusiano au ndoa yake haikuwa kama alivyotarajia, na mara nyingi Mwanamke hukomea hapo asiweze kuchukuwa hatua nyingine, labda kama Mwenza aliye nae haonyeshi mabadiliko yoyote📍
👉🏼 USALITI WA MWANAUME⤵️
Mara nyingi ni TAMAA japo kuna wanaume wengine ni UPENDO kwa mtu wa pili, Ndo maana wanaume walio wengi akisaliti anaweza kujikuta AMEMZALISHA MWANAMKE HUYO na wengine hata kumfanya mke mdogo💯
Yote ni usaliti, na lazima Maumivu yachukue nafasi yake, mwisho wa usaliti ni KUACHANA kwani hakuna aliyesalitiwa akabakia Kwenye msamaha na kuachilia zaidi ile hali ya MALIPIZI hutawala Muda wote, Kama Mtu anajua THAMANI YAKO KWA VYOVYOTE VILE ANAWAJIBIKA KUKUBEBEA MADHAIFU YAKO💯
Vinginevyo wewe sio wa moyo wake ndo maana anajaribu kutafuta Mwingine huko nje, na wakati akiendelea kutafuta lazima AKUSALITI na hiyo ndiyo Maana kwamba wewe sio wake📍
Image may contain: 2 people, phone

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA