UKIMUONA MTU MKE AMA MUME ANASALITI MAHUSIANO AMA NDOA YAKE UJUE ANATESWA NA UBINAFSI💯
Ifahamike kwamba;-


Mtu akisaliti maana yake yeye anapenda vizuri na vyenye Radha zaidi ya mwenzie, Maana kama asingekuwa mbinafsi angemshirikisha mwenza wake kile ambacho ndicho kinamvutia zaidi awapo kwenye TENDO LA NDOA
kuliko kupanga njama ya kuzunguka upande wa pili na kwenda kupewa Radha na mtu Mwingine


Upumbavu wa WANA NDOA ni pale anapomzoea mwenzie ki Mapenzi na kuona ilikuwa zamani ila kwa wakati huo HANA MAAJABU

Penzi zuri linatengenezwa na MAELEWANO baina yenu wawili, Kwamba kila mmoja kuijua THAMANI ya Mwingine, Maana kama swala ni NGONO siamini kama NDOA NDO ILIKUWA SURUHISHO ila mtu mwenye akili zake anapopanga kuwa na MKE ama MUME anawajibika kuzijua HISIA pamoja na MIHEMKO yake anapokuwa kwenye uhitaji wa TENDO LA NDOA walau kupima je;-


Maana kwenye mahusiano ni kama zile ndoa za utotoni zilizojengwa na michezo ya KOMBOLELA maana yake huwezi kujidai upo kwenye PENDO IMARA maana muda wowote anaweza kuibuka wa maana zaidi yako, Ndo maana NDOA NI COMMITMENT

Kwamba unapo kubari uwe MKE au MUME wa mtu hakikisha hakuna kinachopelea kwa mwenza wako, Baada ya kusema haya;-

Baki na Mume/ Mke wako kwa sababu hata hilo penzi unalifuata huko nje sio la hakika sana, Kwani Hakuna mtu anakubari kuwa na Mke ama Mume wa mtu kwa UPENDO ila inatokea kwa TAMAA

Radha ya MAPENZI inatengenezwa na AKILI ndipo Mwili unapokea msisimko hata kidole huwapa starehe wanawake, lakini sabuni yenye povu huwamaliza wanaume

Amua kubakia kwenye MAHUSIANO AU NDOA yako kwa kuamini kabisa HAKUNA PENZI LINALOZIDI PENZI LA MTU AKUPENDAYE KWA DHATI maana kwa sasa kuliko kuupa kipaumbele MWILI kwa starehe ya kitandani, Weka kipaumbele kwa mtu ambaye anaijua THAMANI YAKO KAMA MWANAMKE/MWANAUME ili uwe na hakika ya UPENDO
