MWANAUME MATAMANIO YAKO YAJIKITE ZAIDI KWA MWANAMKE WAKO KWA SABABU UNACHOKITAKA KWA MWANAMKE NI HAJA YA MWILI MAANA KAMA NI MWANAMKE TAYARI UNAE

Kinachomtesa Mwanaume ni TAMAA YA NGONO
Wala hana kingine atakacho kwa Mwanamke


Maana kwa hali ya kawaida MWANAMKE NI JINSIA wala sio muonekano wake ama matamanio yake, Ndo maana;-

Kama Mwanaume angekuwa anateseka kumtafuta MWANAMKE KWA UZURI WA SURA, SHAPE AMA RANGI naamini hata cleopatra asingeteseka juu ya MAPENZI maana hata leo anajulikana kuwa Mwanamke Mzuri DUNIANI



Shauku ya Mwanaume ni kuendelea kutafuta tafiti ya MWANAMKE japo pamoja na kuendelea kuvulisha chupi
watoto wa watu HAJAWAHI JUA NI MWANAMKE YUPI NI BORA ZAIDI YA MWANAMKE MWINGINE


Kwa sababu hiyo;-


Kama mwanaume atajua HAJA ZAKE ZA KI MWILI ZINAMALIZWA NA MWANAMKE YEYOTE BASI MWANAMKE ALIYE NAE ANAFAA KUWA SURUHISHO LA SHIDA YAKE kuliko kufikiri kutafuta Mwanamke Mwingine zaidi ya aliyenae, lakini ukweli unabaki pale pale;-

Mambo ya BURUDANI kitandani sio sababu ya kutafuta mbadala ila mahitaji yako unaweza kumjenga mwenza wako na ukafikia malengo yako





Itoshe kusema:-


Happy new year 2021
watu wangu









