Mambo Magumu ambayo Mwanamke hapashwi kuyataka wala kutamka kwa Mwanaume ni haya:-


👉 MWANAUME AKUOE.
👉 MWANAUME AKUPE MIMBA.
Mahusiano ni mahala ambako ndiko mikakati ya ki maisha huanzia, Muda mwingine MAHUSIANO yanakuwa hayana MWENDELEZO wa kuwa na NDOA📌
Maana kuwa Kwenye MAHUSIANO haimaanishi kwamba MTU ATAHITAJI NDOA Muda Mwingine Kuna MTU anakuwepo kwa starehe za kitandani pamoja na mitoko ya hapa na pale Yaani KAMPANI wala sio kwa UPENDO⛔
Kwa asilimia kubwa MWANAMKE AKIMPENDA MWANAUME hujikuta anatamani NDOA kwamba kwa starehe apatazo basi waoane kabisa ili aendelee kufaidi, Shida inakuja upande wa Mwanaume JE NAE ANAWAZA KAMA WEWE😂😂
Wanaume wachache Sana ambao huanzia MAHUSIANO halafu wakahitaji ndoa, Kwanini nasema ni wanaume wachache:-
👉 KOSA LA WANAUME WENGI NI KUMZOEA MWANAMKE.
Automatically Mwanaume akimzoea Mwanamke tayari AMEKINAI na kama akibakia ujue ni kwa sababu.
Yaani Mwanaume ili awe na hitaji la NDOA ni pindi tu amuonapo Mwanamke, Ni kweli NDOA NZURI INAANZIA MAHUSIANO ila haimaanishi IWE LAZIMA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA⛔
Na ndo maana MAHUSIANO ya watu waliotumiana ki mwili huzoeana, na wakiingia Kwenye ndoa ile radha ya NDOA hutoweka kwa sababu kuu moja KUISHI PAMOJA KUNAIBUA TABIA ZILIZOKUWA SIRINI.
Wanawake mnajikuta mnataka NDOA na sio kusubiri Mwanaume yeye ndo AITAKE NDOA unajua ni kwa nini:-
👉 MPISHI YEYOTE HUKINAI CHAKULA AKIWA ANAONJA💯
Kwamba Mwanamke ukiishamvulia 👙 nguo akakutafuna omba MUNGU akomee kwako, vinginevyo wewe ni MHANGA WA PENZI ambalo mwenzio alimaliza kazi yake, na Sasa yupo kwa Mwingine kabisa.
Kutaka kuzaa na Mwanaume ambaye yeye hajapanga niamini MTOTO NI WAKO hata kama kwa damu ni wake lakini moyoni sio wake, Kinacho takiwa ni kipi :-
👉 KAMA MWANAUME ANAKUPENDA KWA NAFASI YA MKE HATAKIWI KUONJA👙 BALI ASUBIRI KULA KABISA MKIWA NDANI YA NDOA.
Tatizo lenu wanawake wengi mnakuwa mnataka Mahusiano ili kuondoa UPWEKE kwa Maumivu ya mwingine, na kumbe mnasahau TATIZO LIPO PALE PALE japo watoto wa mjini mnataka MLANE😋 ili usije uziwa mbuzi kwa junia lakini vigezo vya ndoa ndo mnaharibu,
Wanaume wengi hawajui maana ya NDOA ila wanaamini kwamba Mwanamke ni CHOMBO kama vyombo vinginevyo😂
Kama hajasema uwe Mke wake KULANENIIIIIII WEEEEE ukikinai sepa🏃‍♀️
Kama hajatamka kutaka Mtoto wewe kula ujana ukiona giza sepa🏃‍♀️
Mambo ya kujifanya UNAJIONA MZEE ETI UOLEWE AMA KUZAA KWA UTASHI WAKO ndugu yangu yakikukuta ya kuumiza UYAMALIZE MWENYEWE📌
Image may contain: 1 person, outdoor

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA