Tukiachana na Kujiona sana wanawake.... Inatakiwa Pia utambue Haya

1. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejiheshimu

2. Mwanaume Anapenda Mwanamke ambaye ni Mvumilivu

3. Mwanaume Anapenda Mwanamke anayejari na Kuthamini

4. Mwanaume Anapenda Mwanamke Mwenye Mawazo Chanya (Future Vision)

5. Mwanaume anapenda Kutodharauliwa

6. Mwanaume Anapenda Maamuzi yake yaheshimiwe

7. Mwanaume Anapenda Mwanamke anaye Rizika

8. Mwanaume Anapenda Kubembelezwa

9. Mwanaume anapenda Kusikilizwa

10. Mwanaume yoyote hapendi Mwanamke anayejiona na anayejiskia