ALIYE ONDOKA KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA YAKO BAADA YA MIGOGORO HAIMAANISHI HAKUPENDI ILA ANAYEDUMU KWENYE MIGOGORO HUYO NDIYE HAKUPENDI


💯
Kwanza fahamu kwamba :-
👉 UPENDO 💘 WA KWELI HUVUMILIA MABADILIKO.
Huwezi kuwa Kwenye uhusiano ama ndoa ambayo kila ulipojaribu kumsahihisha mwenza wako ndipo hali ilipo kuwa mbaya zaidi, kwamba badala ya kuamini katika MABADILIKO lakini mwenzio ndo kwanza Kosa lile lile ambalo liliwaingiza Kwenye MGOGORO ndilo analolirudia kila Mara, Mara nyingi chanzo cha vita za MAHUSIANO AMA NDOA ni Makosa yasiyosahihika, Uvumilivu ambao unatajwa Kwenye MAPENZI ni mtu kujua Kosa lake na kujutia, Ila kama bado anakuwa kwenye kukuingiza katika MAUMIVU kwa Kosa ambalo ulimsamehe Mara nyingi MOYO HUWA HAUWEZI KUVUMILIA ikiwa Mtu huyo analo PENDO LA DHATI 💘 KWAKO.
Kwanini nikasema mwenye UPENDO WA DHATI 💘 ni yule atashindwa kuhimili MIGOGORO na kuondoka ndiye mwenye UPENDO WA KWELI :-
👉 KUBAKIA KWENYE MAUMIVU YA MAPENZI NI NGUMU KAMA UNAPENDA KWELI ILA NI RAHISI KUBAKIA IKIWA HUNA UPENDO WA DHATI 💘
Hivyo usione Mtu ana kuvumilia huku mkiwa Kwenye MIGOGORO isokwisha ukadhani analo pendo la kweli kwako, Muda mwingine Mtu hana pa kwenda ama ni katika kuangalia zaidi ulicho nacho na wengine hata ile hali ya MAZOEA juu yako, Ila ndani yake hana UPENDO JUU YAKO 😂
Kwa akili zako unagundua kabisa UHUSIANO ama NDOA uliyopo haikupi FURAHA wala AMANI ila unabakia kwa sababu zako tu kisa MTOTO/WATOTO ama MALI unajifahamu kweli🙄
Maana FURAHA NA AMANI ni zaidi ya vitu ndo maana MAPENZI yakawa na nguvu kuliko UNDUGU japo ukweli ni kwamba :-
👉 ATAKAYE KUZIKA HUMJUI 😂😂
May be an image of one or more people, beach and body of water

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA