HIKI NDO KINACHOSABABISHA USIOLEWE MPAKA LEO

Mwanamke kutwa unalalamika wanaume waongo kwenye mapenzi wakikutumia tu wanasepa, huna hata akili ya kufikilia kwann kwako wagonge wasepe hawaingii ndani? Na daily unahudhuria harusi za wasichana wenzio wakiolewa? Au wao wanaolewa na majini eti?

Hii dhana kujiona watoto wa mjini, wanawake wa kisasa sijui, basi ndo mnakuwa kama makuku ya kisasa kweli hamfai kwa kufugwa shida tupu!! Maana makuku ya kisasa ukitaka kuyafuga basi ujipange kweli kweli kuanzia mtaji wa kipesa hadi muda wa kuyahudumia!!

Ndo nyie sasa, yaani kiukweli wanawake wa sikuhizi hata radha mmeisha kabisa  We unataka mwanaume akuoe wakati hujawahi kujiongeza hata kusema umfulie, kazi kumsifia kapendeza hujui hata anafuliwa na nani?

Hujawahi hata kumpikia kazi kumsifia ananenepa hujui hata anakula wapi, halafu unataka ndoa? kila siku ukienda gheto kwake we kazi kuulizia series za kikorea kama kaleta mpya, huulizi hata Leo unanunua mboga gani nije kukupikia, mwanamke mzima bila haya unaenda kwa bwana wako unafika unalia njaa halafu unamuagiza kabisa akakununulie chips kuku! Halafu unataka atoe posa kwenu?? Kazi mnayoijua ni kuomba omba hela tu utazani watoza ushuru wa manispaa?

Mkifulia Ndo mnajifanya kusema "Bby nimekumiss nataka nije leo" pumbavu kumbe pesa Ndo inayokupeleka, mkishafumuliwa fasta mnaomba nauli na hela ya kula hata kukumbuka kutoa shuka utandike nyingine huna mda huo, tunawajua Sana ila tunawatazama tu mnajiona wajaanja kumbe mnajishusha wenyewe, haya mambo mnayaona ya kipuuzi lakini ndo uchawi kwa mwanaume ajue thamani yako, asifikirie kukupoteza hata siku moja, sasa nyie endeleeni tu kufuata hela, mnaenda kwa wanaume mmejikoki sadolin za rangi mdomoni, machoni mpaka mtu anashindwa kukukiss!

Umefuga makucha utazani visu vya kukeketea??  sijui hata mnasafishaje maumbile yenu, unakuta unang'aa usoni utazani duka la wahindi lakini ndani unatoa uvundo  aisee mtalalamika Sana nawaambia, wanaume Ndo sisi mnaotuletea nyodo Ndo tunapaswa kuwaoa, tutawanyoosha mpaka mjute kuzaliwa! Pendeni hela tuwazeeshe!!.......

Ukiwa maskin unaonekana kama huna akili timamu kumbe kilichokosekana apo sio akili ni pesa! Leo nimeona niwape vipande vyao hawa akina dada kuanzia umri wa miaka 30 na kuendelea ambao bado hawajaolewa, utakuta mdada mtu mzma kabisa ana umri wa miaka zaidi ya 30 anatafuta wanaume wa kumuoa kwa kuweka masharti lukuki tena magumu Kinoma

Mara nataka Mwanaume Handsome, Mcha Mungu, mwenye elimu ya degree, awe ameajiliwa au ana biashara. Nabaki kuwashangaa sana nyiyi viumbe, unataka mwanaume mcha Mungu je wewe ni mcha mungu? Ungekuwa na tabia nzuri ungefikisha umri huo ukiwa nyumbani?

Tambua kuwa kitendo cha kufikisha miaka 30 nyumbani na huna mume wala mchumba inabidi ujiulize mara mbili ulikosea nini huko nyuma Kwasababu Kupata Mume umri huo kwa sasa ni Bahati , Wengine Kabisa wanakataa wachumba wakiwa kwenye early 20's Wakijua watastay young Forever...

Utakuta mwingne alizalia nyumban halafu anakuja naye na sifa zake eti nataka mwanaume mnyenyekevu na ambaye hajawai kuoa nyambaaafu wewe umezalia nyumban halafu leo unataka mwanaume ambaye hajawahi kuoa for what?

Mimi nawaambia msijidanganye hata kidogo, mkitaka masharti hayo mtaishia kufunuliwa tu mpaka akili ziwakae sawa.

KWAHERINI.MESSAGE SENT

GOD is GOOD

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA