IJUE SABABU YA WAPENZI KURUDIANA BAADA YA KUACHANA
Kwanza fahamu kwamba:-
Mtu yeyote aliyeondoka kwa kuamini atakuwa sahihi iwe kwa migogoro au hali ya kutoridhiana na mazingira ya UHUSIANO huyo ndiye huumia zaidi, kwani alikokwenda kama aliweka tumaini kubwa halafu akakutana na tofauti ya aliloamini, Muda mwingi hutaka kurudi kuogopa kuumia kukosa pote 

Maana ya MAPENZI NI UPENDO kama Mtu aliamua kuondoka huku wewe ukiwa bado UNAMPENDA ni rahisi sana kumpatia nafasi nyingine
Na nijuavyo mimi Mtu aliyeachwa humchukuwa Muda kuamini kilichotokea, ndo Maana ni rahisi kwa WABABAIFU kwenda na kurudi wakikuta nafasi zao, Japo kuna hatari katika hilo:-
Safari nzuri ya MAPENZI ni usawa wa UPENDO 
Na kinachokatisha safari ya MAPENZI ni ubinafsi mtu kuamua awe yeye bila kujua MAPENZI NI PANDE ZOOOTE MBILI na kinyume chake ni HASARA YA MOYO 
