MAMBO 10 YAKUSHANGAZA KUHUSU WATU WANAOTUMIA MKONO WA KUSHOTOWatu maarufu


1.Mtu maarufu zaidi Duniani Barack Obama  na Bill Clinton raisi wa zamani wa Marekani
2. Tajiri wa Dunia Bill Gates
3. Mwanamke mwenye mafanikio zaidi duniani Oprah Wilfrey
4. Mfalme wa hiphop duniani  Eminem
5. Msanii mwenye wafuasi wa kike wengi zaidi duniani Justin Beiber hutumia Kushoto Pia
6.Rafael Nadal Mkali wa Tennis hutumia mkono wa kushoto
7. Wanasoka Lionel Messi, Maradona, Ryan Giggs robin van Persie, ribery na wengine wengi.
8. Muigizaji Maarufu zaidi wa Kike Hollywood Angelina Jolie
9. Lady gaga anatumia mkono wa kushoto
10. Mabondia Mike Tyson, Manny Pacquiao, na Oscar De La Hoya wanatumia mkono wa Kushoto
Maajabu Yao
1.Kucha zao za kushoto hukua kwa haraka zaidi ya zile za kulia
2.Wana uwezo wa kufanya kazi za kibunifu zaidi kiliko wenye mkono wa kulia
3.Huchora maumbo yanayogeukia upande wa kulia
4. Hutumia zaidi upande wa kulia wa ubongo, na wengi wao hupenda pombe kwani pombe huchukua muda mrefu zaidi kuathiri upande wa Kulia wa Kichwa Kuliko Kushoto
5. Wanauwezo zaidi wa kufikiria. Huwa na uwezo wa kufanya kazi mbili kwa wakati mmoja (multitasking).
6. Hupona ugonjwa wa kiharusi(stroke) kwa haraka zaidi
7.Huchelewa Zaidi kubalehe kulinganisha na watoto wanaotumia mkono wa kulia
8.Asilimia 80 ya watu hawa huwa jinsia ya kiume.
9. Watu saba kati ya kumi wanaotumia mkono wa kushoto, huwa na “allergy” ya kitu angalau kimoja
10. Hufariki mapema zaidi kuliko watu wanaotumia mkono wa kulia (miaka 9-10 kabla)

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA