Siri za mwanamke ambazo wanaume wengi hawajui👉🏼👉🏼



1. Mwanamke anapokuuliza, Hivi nakuwa mnene eeh?. Ujue anakuambia hapendi kuwa mnene na anatamani apungue. Na hatapenda umwambie hasi kuhusu unene, kwasbabu atajisikia vibaya😃

2. Siyo Kila Mara ukimuuliza ,upo ok? Na anajibu  "nipo ok" Basi yupo ok, muda mwingine anakuwa hayupo ok, ila anataka tu amani iendelee Kati yenu yaishe, so uwe makini kujua yupo ok kweli au la.

3. Wanawake hawana utani Kati yao na wanaume. Kila utani kutoka kwa mwanaume huchukulia kweli hatakama anajua unamtania. Jaribu siku mwambie mbaya, hatakama mzuri kiasi gani, ataamini maneno yako na kujiskia vibaya😃

4. Mwanamke anapoolewa , huwa hawazi mambo ya kutoa pesa ya kulisha familia anajua mume yupo, kumbe mambo yanabadilikaga, utakuta yeye ananza kutoa, na kwasbabu hakujianda inamtesa Sana, kwasababu mume akiumwa muda mrefu Bila Shaka mke anaingia kazi kazini

5. Mwanamke anachukua muda mrefu kwnye make up, kwasbabu siyo kazi rahisi kutengeneza lash(vinywele juu ya jicho) ili Kila pande zinfanane ile mistari anapojichora. Kama unataka kujua siyo rahisi, chukua pencil jichore kwenye lash na mistari ifanane pande zote mbili. Kwahiyo tusiwalaumu Sana wakichelewa😃

6. Period ina maumivu yasiyo elezeka. Kwahiyo wanaume eleweni tu kuwa Ni maumivu mazuri na makubwa. Badala ya kuchukulia poa, wapeni faraja japo hawawezi kueleza jinsi inavoumiza😋

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA