𝐁𝐈𝐍𝐓𝐈 Mwanaume anayekuambia kua anataka kukuoa nawakati mmefahamiana siku hiyohiyo mchunguze vizuri sana....

 𝐁𝐈𝐍𝐓𝐈

Mwanaume anayekuambia kua anataka kukuoa nawakati mmefahamiana siku hiyohiyo mchunguze vizuri sana....
Mwanaume wakuongelea/ kuhitaji tu Sex kila mkiwasiliana mchunguze vizuri Sana....
Mwanaume anayekutambulisha tu kwa marafiki zake ila kwa wazazi anakataa mchunguze vizuri sana.....
Mwanaume anayeongea mipango mingi kwa wakati mmoja na hakuna hata mkakati mmoja anaofanya mchunguze vizuri sana...
Mwanaume wakuomba umkopeshe/Umpe hela kila siku lakini wewe ukiwa na shida ukimuomba hana hela,mchunguze vizuri sana...
USISUBIRI KUJIFUNZA TU KULINGANA NA MAKOSA.....INAGHARIMU!
May be an image of 1 person, standing and outdoors

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA