SMS 3 KALI ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO ULIYEMUACHA AU MLIYEGOMBANA
1.Ni kweli nakiri ndani ya nafsi yangu kwamba nilikukosea mpenzi wangu, naomba unisamehe na unipe nafasi nyingine katika moyo wako mpenzi wangu. Nakupenda sana,
2.Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako ,Röhö håinå furaha sababü ya ükimyä wåkö,näfsi håinå raha kükösä såuti yako,möyöni näsonönekä kükösä penzi läkö,håkikå naumia sana
Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba
haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe
nafasi nyingine moyoni mwako!
Nipe nafasi nyingine maishani mwako!
Nisamehe mpenzi wangu!
3.Kila ninapokukumbuka machozi yanidondoka,
naomba unisamehe, nakupenda sana dear na ni kweli kuna wakati nilikukosea, lakini amini nakupenda. Sijawahi kujuta na sitajuta kamwe kuwa na wewe! naamini haikuwa akili yangu bali ni ushawishi wa shetani ambaye siku zote amekazania kuharibu penzi letu! nimegundua nilikukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya,bora na mwaminifu,nisamehe mpenzi wangu naomba unipe nafasi nyingine katika moyo wako