MWANAUME TAMBUA KWAMBA MWANAMKE KAMA HAJAZAA HAGAWANYI UPENDO ILA AKIISHA KUWA AMEZAA UPENDO WAKE HUGAWANYIKA
Nisome Mwanaume upate kujua nafasi yako kwa Mwanamke;-
MWANAMKE KAMA HAJAZAA HAGAWANYI UPENDO ILA AKIISHA KUWA AMEZAA UPENDO WAKE HUGAWANYIKA
Kumekuwa na jamii isiyoheshimu UTU wa mtu na badala yake kila mmoja kujiona ana thamani kuliko mwingine, Kwa sasa kutokana na maana ya UPENDO kutoweka na kubakia maana ya MAPENZI kumezuka kundi kubwa la WANAWAKE WANAOLEA WATOTO BILA BABA ZAO haijalishi ni wanaishi pamoja ama wametengana ila maana ya MWANAMKE KUJITIMIZIA MAHITAJI YAKE PAMOJA NA MTOTO/WATOTO hiyo tayari ni SINGLE MOTHER
Chanzo cha hao SINGLE MOTHERS Mimi na wewe hatujui, Maana wakati wanaanza hatukuwepo na walipoamua hitimisho pia hatukuwepo, ninalotaka kuzungumzia ni lipi;-
MWANAMKE KUGAWANYA UPENDO BAADA YA KUPATA MTOTO/WATOTO.
Mwanamke kama hajazaa UPENDO wake ni wa hakika sana, Kwa sababu ya MAPOKEO YA MIOYO YAO na anapokuwa amezaa moja kwa moja ANAMEGA UPENDO KUTOKA KWA MWANAUME KWENDA KWA MTOTO na wakati Mwingine kama Mwanaume haonyeshi kumpa kipaumbele anaweza kubakia na UPENDO WA MTOTO
Mwanamke akiingia migogoro na mzazi mwenzie haimaanishi HAMPENDI hilo ndilo wanaume Wengi mnahadaika nalo, ukiambiwa jamaa hapigi machine vizuri unajiona kidume kumbe mwenzio anacheza na akili yako ili utoe MAPENZI MAZITO kwa macho ni kama utaona uko juu ya Mumewe ama mzazi mwenzie ila nataka nikwambie;-
UPENDO ALIO NAO MTOTO KWA MAMA YAKE NDIVYO APENDAVYO ALIYEMZALISHA HUYO.
Usidanganyike na maneno ya Mwanamke, huyo anataka NGONO KWAKO na UPENDO wake upo kwa BABA MTOTO WAKE
Mifano iko mingi, fuatilia utajua ili ukipata Mwanamke wa aina hiyo AKUPELEKE ALIPOZIKWA MZAZI MWENZIE vinginevyo WEKENI MASLAHI MBELE kila mmoja na hitaji lake ndipo mgawiane hayo MAHITAJI
Hakuna vipeuo wala unyambulishaji Kwenye UPENDO WA MWANAMKE ikiwa amezaa, Sana sanaaaaa UTAAMBULIA MBUMAIIII ukidhania umeokota dodo kama la DIAMOND