VILE ULIVYOMPA NAFASI AWE MPENZI WAKO NDIVYO ANAVYO FIKIRI UNAWEZA MPA MWINGINE NAFASI HIYO
Mwanamke ujue ubabaifu wa Mwanaume kwenye Mahusiano yake;-



Mwanaume ni mwingi wa wivu wa siri, Ndo maana wanaume wengi anapomtongoza Mwanamke na akakubaliwa hujitahidi Mwanamke huyo kujiondoa mazingira yaliyopelekea yeye akapata nafasi

Mfano;-




Ndo maana mahusiano mengi migogoro yake ni eneo lile lile walipoanzia, kwamba badala ya kuamini hiyo nafasi umempa ni upendeleo Basi itakuwa fimbo kukuchapia, wanaume Wengi nafasi rahisi aipatayo kwa Mwanamke hudhania ni kila mwanaume hupewa nafasi kama yeye, Muda Mwingine hilo nalo ndilo hudhoofisha FURAHA YA MWANAMKE kwa kujiona ni kama alijirahisi kumbe ni vile wanaume na wivu wao katika nafasi wanazopewa na wanawake, Mwanaume kwa UHALISIA ni mtu wa GUBU kwamba anaumia bila kusema na kinachokuwa REFLECTED ni hasira pamoja na kununa
