NINI CHANZO CHA MAHUSIANO NA NDOA KUKOSA MVUTO KAMA ILIVYOKUWA MWANZO

Kwanza ifahamike wazi;-


Kama hivyo vitu vikitoweka wala husumbuki kutafuta chanzo cha mabadiliko ya mwenza wako, Mahusiano ama ndoa yeyote hakuna mtu anafuata TENDO LA NDOA peke yake, Maana hata tendo la ndoa linachangizwa na AMANI PAMOJA NA FURAHA na tayari hivyo viwili vimekuwa bidhaa adhimu kwa vyovyote vile NURU YA PENZI HILO LAZIMA ITOWEKE

Asilimia kubwa ya wapenzi wa leo ni kutofautiana UMUHIMU WA PENZI HUSIKA kwani kuna wanaodhani unapokuwa na mahusiano ama ndoa ni kupata msaidizi wa mambo ya kuongeleka badala ya ile maana halisi kwamba;-


Na kwa mahusiano pamoja na ndoa zitikanazo na NAFSI pamoja na MOYO huwa zinajiendesha kwa HISIA.
Tofauti na mahusiano/ndoa zinazojengwa na VITU, NGONO pamoja na MUONEKANO wa mtu, Maana vyote hivyo hupungua kama sio kutoweka kabisa

Ukimpenda Mtu na kumpa THAMANI yake kama Mtu muhimu maishani mwako niamini utakuwa Kwenye hakika ya BAADAYE "future"
Wengi tunapenda mambo ya kufariji ili tusiumie, Wakati ili upate kitu Kizuri lazima ukubari MAHANGAIKO ukihangaikia hicho Kizuri

Maana ya MAPENZI ni pamoja na FAIDA kupitia mtu wako, mfano:-


Kinyume chake uko na mtu hata kama anakupa penzi tamu lakini ukijitazama Kabla hujawa nae na Sasa unajiona umeporomoka kuanzia NURU YA USO mpaka mwili umekwisha bado unatafuta waganga wakupigie ramli kwanini uko na hali hiyooooo 
