So wanaume kuna ile tabia mbaya sana ile, binti wa watu kakuzoea anakupa heshima as friends we unaambia washkaji zako umepiga
Ni tabia ya kizwazwa sana tuacheni na tujiheshimu, hakuna thamani yeyote utapata kwa kumchafua mwingine
NB: Shilingi si ina pande mbili Wanawake Pia Acheni Kusingizia Eti yule mkaka Ananitaka Wakati Hajawahi Ata Kukutamkia Kuwa Anakutaka Au Kukupenda Halafu Kwanza Kujisifu sifu Mambo Ayo Ni Dalili Ujinga Grade One! #MkakaFulani