MWANAUME IJUE SABABU WANAWAKE WA SASA KUOLEWA NA WATU WAZIMA


📍
Kwanza fahamu jambo kubwa litakupa sababu ya kwanini unatakiwa kuwa na uchumi wako mwenyewe ndipo upange kuoa;-
MWANAMKE HATA AWE NA KIPATO CHAKE ANAHITAJI MWANAUME AMBAYE ATAHANGAIKA KWA AJILI YA FAMILIA YAKE HAIJALISHI UWEZO WAKO ILA TU UWE MWANAUME WA MAJUKUMU
Wanaume kuamini katika kumpa Mwanamke mahitaji ya ki MWILI peke yake ni kujitengenezea anguko lako mwenyewe, Hitaji la mwili linaweza kuwa hai kwa muda na baadaye kuisha, Maana Mwanamke kwa maumbile yake NGONO ni hali ya mpito wala haidumu
Ndo maana Mwanamke ukiharibu UPENDO WAKE KWAKO moja kwa moja hata hali ya hitaji la ki mwili juu yako hutoweka.
Lakini kama wewe ni Mwanaume wa majukumu maana yake utajua KUMTUNZA na hilo ndilo lenye maana ya kwanini wanawake wengi kwa sasa wanakimbilia kwa WATU WAZIMA.
Kwani tayari wana amini mtu mzima atawekeza akili, moyo kwake ili atimiziwe Mahitaji ya ki maisha, Hata kama hitaji la mwili halitakuwa na ukombozi ni rahisi Mwanamke kuvumilia kuliko kama angekuwa anapigwa sarakasi na hapati Mahitaji Mengine.
Dunia inakwenda kasi ki maisha ni ngumu kumuweka Mwanamke abakie kwenye maisha yako ya Imani ya NGONO etiiii unapiga round 5 bila kushukaaa.
Hata jogoo kabla ya kutaka mzigo anatafuta chakula, anaandaa mazingira ya jike ndipo anaanza round zake kubembeleza mzigo mpaka apande nae amefanya majukumu yake.
Usijidanganye kupitia MAPENZI tengeneza sababu ya wewe kuitwa MWANAUME BORA kwani hizo blaa blaaa zako zitakusababisha kuonekana choko tu, Wanawake hawasemagi kama kuna tatizo ila iko siku ataku-show uhalisia anao hitaji kupitia Mwanaume mwenzio ndipo akili itakukaa vizuri.
May be an image of 1 person, standing and wedding

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA