BADO NATAFUTA - SEHEMU YA 09

BADO NATAFUTA
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 09
WhatsApp:0678926045
Sasa mwanangu umelipia ya miezi 5 utakaa hapa bila buguza yoyote funguo yako hiii muda wowote unaruhusiwa kuhamia, aliongea mama mwenye nyumba kwa urefu zaidi,
"'Asante sana mama yangu nimekalibia na sina siku nyingi ntahamia hapa, aliongea mniga,
"'Sawa hakunashida mwanangu, aliongea mama mwenye nyumba,
"'Haya ngoja sisi turudi nyumbani, aliongea john na kuanza kuondoka huku mniga anafuraha sana kwa maana atahamia muda autakao walitembea hadi kwenye geto la john na mniga aliamuwa kuaga,
"'Sasa john ngoja mimi nirudi nyumbani nikatulie kidogo tutaonana kesho, aliongea mniga,
'"Basi poa hakunashida jamaa, aliongea john na kujitupia kitandani huku mniga yeye akitoka zake mdogo mdogo na kurudi nyumbani ambapo hakuchukuwa muda sana alifika na kugonga geti huku, akisubili kidogo tu likafunguliwa na heppy ambae aliachia tabasam safi kabisa,
'"Kalibu kaka yangu kipenzi, aliongea heppy na mniga akatabasam tu,
'"Asante sana mdogo wangu vipi baba yupo au mama, aliuliza mniga kwa sauti ya chini kidogo,
"'Wapo ndio sebleni hapo wametulia tu, aliongea heppy,
'"Duuuh vipi kuhusu msosi umepika maana Daah njaa inauma sana, aliongea mniga
'"Oh usijari kaka Mimi ntaenda kupakuwa chakula na kukuwekea chumbani kwako sasa wewe pita pale sebleni ili wakianza kukusema mimi kule ndo napata nafasi ya kupakuwa na kupeleka chumbani kwako, aliongea heppy kwa kirefu zaidi hadi mniga akatabasam tena na kumgongea tano heppy,
"'Duuh mdogo wangu unaakiri sana basi ngoja Mimi niende kule sebleni wewe pitia mlango wa nyuma, aliongea mniga huku yeye akaingia ndani huku heppy anapitia mlango wa nyuma mniga alisukuma mlango wa sebleni na kumkuta, baba yake mdogo akiwa na mama yake mdogo,
'"Shikamo bamdogo, alisalimia mniga,
'"Kama shikamoo ingekuwa pesa basi Mimi ningetajirika sana maana wewe unapenda kunisalim sana haya niambie ulienda wapi hous gril wetu mbaka mwanangu apike, aliongea baba heppy kwa ukali kidogo,
'"Kwanza nataka nikwambie bamdogo Mimi sio hous gril wenu na jina hilo usizoee kuniita maana Mimi nakuheshimu ila naona wewe hujiheshimu mjinga wewe, aliongea mniga kwa hasira sana kwa sababu yeye mweupe kwahio uso wote ukawa mwekundi yani,
'"Ni masikio yangu au naota Leo mke wangu umesikia nini, aliongea baba heppy huku anatikisa kichwa chake,
'"Mmmh hata Mimi nashindwa kuamini mume wangu nilichokisikia maana mtoto kaota mapembe sikuhizi, aliongea mama heppy kwa dharau huku kakunja uso wake mdomo kaupindisha kweli,
'"Leo hiiii mniga mtoto wa juzi tu unazariwa nakuona kweli ndo unanijibu hivo, aliongea baba heppy kwa hasira na kusimama huku anachomoa mkanda wake,
'"Ujuwe ungekuwa unajiheshimu na Mimi ningekupa heshima kweli ila Mimi najitahidi sana kukupa heshima ila naona unanidharau na kuniambia Mimi hous gril wakati Mimi mwanaume kweli haki hiyo stakubali hata siku moja kwanzia sasa kama kuteswa mlinitesa sana zamani sio sasa Mimi ni mniga mwingine mwenye akiri zake, aliongea mniga kwa hasira sana,
'"Oh unajifanya umekuwa wewe msengeee nahizo bangi mnazojifundisha, aliongea baba heppy kwa hasira sana na kwenda kumtandika mniga mkanda wa kichwa paaah, ile anataka kumtandika mwingine mniga akamuwahi na kumshika, mkono huku
'"Sasa kwa sababu sasahivi umekuwa kwanzia sasa nyumbani kwangu sikutaki tena kachukuwe kilicho chako na uondoke mpuzi mkubwa wewe, aliongea baba heppy huku anahema kwa hasira kweli,
'"Hahahahaha stishiki kwa chochote ila nataka kukwambia ipo siku utanikumbuka sana na wakati huo Mimi sio levo yako tena na siku zote mari ya dhambi haidumu hata sikumoja kama hizi mari ni za marehemu baba yangu basi hutakaa Nazo ila kama zakwako na nijasho lako utadumu Nazo Mimi naondoka ila ONE DAY tu utanikumbuka, aliongea mniga huku anataka kuingia chumbani kwake kuchukuwa vitu vyake,
'"Hahahaha hiyo ni ndoto ya alinachari jinga wewe tena utoke sasahivi nisije kukwambia muizi kabisa, aliongea baba heppy
'"Ntaondoka tu wala usijari maana hiii ni mari yako, aliongea mniga na kuzama chumbani kwake akamkuta heppy kajiinamia huku machozi yanamtoka sana mniga akamsogelea
"'Unalia nini mdogo wangu heppy, aliongea mniga
'"Nalia kwa sababu kaka yangu unaniacha peke yangu na nilikuzoea na sijuwi mtaani utaishi vipi huko jamani, aliongea heppy na kuanguwa kilio sana,
'" usijari mdogo wangu hili Mimi nililitambua mapema sana kwamba ntafukuzwa na niliamuwa kupanga chumba changu japo sina godoro wala kitanda ntaishi kibabe tu, aliongea mniga huku anamkumbatia heppy ambae alilia sana pale kifuani kwa mniga,
'"Ila kwanini wazazi wangu wanakosa utu jamani ila sawa kaka ntakutakia maisha mema na ntakuwa nakuja kwako ila sasa ngoja nikuletee pesa kidogo ikakusaidia huko uwendako kula chakula kwanza, aliongea heppy kwa ujasiri sana,
'"Sawa mdogo wangu ntashukuru sana, aliongea mniga,

Kwa 1500 tu unajipatia story hii mbaka mwisho lipia kupitia Tigo Pesa 0678926045 au Halo Pesa 0620816989 ukilipia ntumie ujumbe wa muamala wako WhatsApp au Facebook Inbox)

Itaendelea.................

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA