BADO NATAFUTA SEHEMU YA 10


BADO NATAFUTA
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 10
WhatsApp:0678926045
Ntashukuru sana mdogo wangu, aliongea mniga
'"Usijari kaka ngoja nikaibe sasahivi, aliongea heppy na kuondoka zake, mniga alianza kula chakula huku moyoni alikuwa na furaha sana alikula mbaka aliposhiba ndo akatoa vyombo, hadi jikoni ambapo alimkuta mama yake mdogo,
'"Haaaa kumbe wewe ndo muizi wa chakula sikuzote Mimi nahangaika nani anaiba kumbe wewe mbwa sasa ngoja nikamwambiae baba yako, aliongea mama heppy kwa sauti kweli maana hapakuwa mbali na sebleni pale,
'"Sasa mam heppy nisikilize kwa makini sana sikuzote nilikuwa nakuheshimu kama mama yangu ila naona unaninyanyasa kama mtoto ambae niliokosa kwetu wakati mari hizi ni za baba yangu kwahio Mimi naondoka bakini ili mfurahi sasa na maisha wajinga wakubwa nyie, aliongea mniga kwa hasira sana huku akitoka jikoni na kwenda chumbani kwake ambapo alimkuta heppy karudi tayali,
'"Kaka pesa hiii hapa nimekuta kama laki mbili tu na nimebeba yote sasa wewe ntakutakia maisha mema japo inaniuma sana kwa maana nimekuzoea, aliongea heppy kwa huzuni sana huku machozi yakimtoka,
'"Asante sana heppy mdogo wangu Mimi ngoja niende ila ukiwa na shida yakuja kwangu nenda kwa rafiki yangu yule john ndo atakuleta kwangu, aliongea mniga huku akiachiana na heppy akachukuwa begi lake na kuanza kuondoka zake mdogo mdogo alivofika sebleni alimkuta baba heppy na mke wake,
'"Mimi naondoka nakuwaacha muishi maisha ya furaha sana ila kama mari hivi aliacha marehemu baba yangu basi hakikisha hutadumu nazo ila kama zako harali utakaa nazo, aliongea mniga na kuondoka zake,
'"Hahahaha uwiiiiiiiiiiii ni maneno ya mkosaji hayo bhana Mimi sibabaiki mjinga wewe acha nijirie maisha kwa raha zangu na familia yangu sio na wewe kapuku usio na mbele wala nyuma, aliongea baba heppy huku anacheka kweli mniga hakujari maneno yale hivo alitoka zake hadi nnje ya nyumba na kuitazama huku moyoni akijisemea,
'"Ipo siku ntamiliki nyumba yangu mwenyewe bhana, alijisemea kimoyo moyo na kuondoka zake huku anaenda kuanza maisha mapya, alifika getoni kwake ambapo ndo alipanga aliingia ndani huku akicheki chumba kitupu hapo hakutaka kuchelewa akaweka begi lake vizuri akatoka, kwenda kununua godoro na vyombo kidogo alifika dukani maana hapakuwa mbali sana alinunua vitu ambavo alitaka na chakula hadi vilipokamilika ndo akaanza kurudi navo getoni kwake, huku mawazo mengi sana alifika na kuanza kupanga vitu vyake kwa ustadi mkubwa alipomaliza akaamuwa kujiraza kwanza ili atulize akiri kwanza alilala kweli,
Hadi anakuja kustuka ilikuwa ni mida ya saa 11 jioni mniga alijinyosha pale kwa uvivu huku akipiga miyayo ya njaa maana tangia ale kule nyumbani kwao aliko fukuzwa, alinyanyuka na kuchukuwa jiko lake la mkaa akaliwasha moto na kutoa nnje ili likolee sasa alipokuwa nnje Mara ilikuja gari ya kifahali na kusimama kalibu na geto lake hapo akashuka mrembo ambae alipendeza kila idara yani,
'"Kaka habari yako, mniga alisturiwa na sauti tamu iliopenya kwenye masikio yake,
'"Salama tu Dada yangu, alijibu mniga huku akimuangalia mrembo yule ambae alikuwa akielekea kwenye nyumba ya mama mwenye nyumba aliompangisha mniga,
'"Oya mniga unashangaa nini bhana wewe, mniga alistuliwa tena na sauti ya kiume, alipogeuka akamkuta john rafiki yake,
'"Daaah mwanangu nilikuwa nasuuza macho kidogo bhana, aliongea mniga huku anamwambia john,
'"Hahahahaha uwiiiiiii usinichekeshe bhana kwani hadi watu ambapo jogoo hapandi mtungu mnatamanigi, aliongea john huku akicheka kweli,
'"Oya mwanangu john masiara yako hayo Mimi ndo nilikataa tangia Jana wewe alikupa tahalifa hiyo nani kwamba Mimi sio jogoo hapandi mtungi, aliuliza mniga kwa hasira kidogo maana hapendi kuambiwa hivo kweli,
'"Sijaambiwa na mtu ila najionea mwenyewe maana ndo Leo nakuona na wewe unaangalia ila jamaa yangu kama kweli sema Mimi nikusaidie, aliongea john tena,
'"Sasa john ukitaka kunijuwa hivo basi twende kwenu na ukanipe Dada yako mwezi mmoja tu asipokuwa na ujauzito hapo ndo useme kweli, aliongea mniga huku kakunja sura,

Kwa 1500 tu unajipatia story hii mbaka mwisho lipia kupitia Tigo Pesa 0678926045 au Halo Pesa 0620816989 ukilipia ntumie ujumbe wa muamala WhatsApp au Facebook Inbox)

Itaendelea...................

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA