CHOMBEZO TAMU - BADO NATAFUTA SEHEMU YA 01

BADO NATAFUTA
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 01
WhatsApp:0678926045
.......Mwanzo.........
Mniga ni kijana mwenye umri wa miaka 19 ambae alikuwa analelewa na baba yake mdogo kutokana na yeye wazazi wake kufa kwenye ajari ya gari, ila wazazi wake waliacha mari nyingi Sana yani na ndomaana baba yake mdogo akachukua Mari zito za marehemu kaka yake na kujifanya atamtuzia mniga, siku moja mniga akiwa sebleni anatazama TV Mara alikuja mdogo wake mtoto wa baba yake mdogo na kumwambia,
'"kaka mniga unaitwa na baba hapo nnje,
'"sawa nakuja heppy, aliongea mniga huku akinyanyuka na kutangulizana na heppy hadi nnje ambapo alimkuta baba yake mdogo kavimba kwa hasira Sana hadi mniga akaanza kutetemeka,
'"shikamo bamdogo, alisalimia mniga,
'"sina haja na salamu yako kwa maana wewe mtoto unajiona umekuwa sindio hadi unakuwa jeuri, aliongea baba heppy kwa hasira Sana,
'"kwani nimefanyeje bamdogo maana sielewi Mimi, aliongea mniga,
'"wewe jifanye hunielewi tu kwa maana mama yako mdogo kakutuma nini na ukamjibu nini, aliuliza baba heppy kwa hasira,
'"Mimi mamdogo hajantuma chochote na wala sijamjibu vibaya Mimi, aliongea mniga,
'"ujuwe wewe mniga sasa kwa sababu umeanza kubalehe ndo unataka kutufanya sisi matahila na ukumbuke wewe huna wazazi sisi tunakulea tu na ukirudia tabia yako hio hapa kwangu ntakufukuza mjinga mkubwa wewe nenda katupikie chakula sisi tu nja zinauma, aliongea baba happy bila hata aibu yani,
Mniga hakujibu chochote akanyosha mdogo mdogo hadi jikoni na kumkuta mama yake mdogo ambae alimtazama kwa dharau na kumwambia,
'"wewe mbwa nioshee vyombo hapo nipakulie chakula harafu ukimaliza ukatufutie meza kule na ututengee, aliongea huku anabinua mdomo wake kwa dharau, mniga alichukia Sana na alitamani hata amtandike vibao maana dharau huwa hapendagi ila ndo hivo atafanyeje, akaosha haraka haraka na kumaliza akaenda sebleni na kufuta meza vizuri alipomaliza akarudi tena jikoni kuchukua chakula na kwenda kuwatengea kabisa, na alivorudi jikoni akakuta mama yake mdogo chakula kachukua chote na ukoko kaweka maji, mniga kwakuwa alikuwa na njaa hakuvunga wala nini aliyamwaka yale maji kwenye ukoko na kwabahati nzuri alisahau mboga hapo mniga akanyunyizia tena ule mchuzi kwenye Ukoko na kuanza kula haraka haraka asije akakutwa bule na ikawa balaa tena alikula hadi akatosheka na kuosha vyombo ambavo vilikuwa vichafu na akaitwa sebleni,
'"weee mniga njo utoe vyombo mabosi zako tumeshakula tayali, ilokuwa sauti ya mama yake mdogo ambapo mniga akaenda hadi sebleni na kuchukua vyomba akaja jikoni na kuviosha alipomaliza, tu akaenda mezani na kusafisha, mara akaitwa tena,
'"weeee mniga njo hapa nikutume, aliongea mama yake mdogo,
'"Naam mamdogo nimekuja, aliongea mniga,
'"weee unikane Mimi Sina Dada mwenye litoto Kama wewe na harafu Mimi usiniite mamdogo semaga bosi bhana umenielewa wewe jinga, aliongea mama yake mdogo huku akimfinya mniga kwenye shavu,
Itaendelea...........

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA