HIVI UNAJUA NDOA NYINGI HUANZA KUHARIBIKA WANAWAKE WAKIBEBA MIMBA NA BAADA YA KUJIFUNGUA?



Kubeba mimba inaweza kuwa ni sababu ya kubadilisha uelekeo wa ndoa yako. Inawezekana tayari ulishachoka aina ya mahusiano kati yako na mume wako. Wanaume wanaogopa sana mimba, kwamba hata kama alikua mkatili kiasi gani lakini anaogopa kumuumiza mwanamke mjamzito.

Kwa baadhi ya wanawake mimba zao zinageuka kuwa kama mkosi flani wa kuwafukuza wanaume, kuwafanya kuwa wakatili zaidi na hata kuwasukuma kuchepuka.

Lakini kama ukijua nini chakufanya wakati ukiwa mjamzito basi utakua ni mwanzo mpya wa kubadilisha uelekeo wa ndoa yako. Katika Kitabu cha ‘Ndoa Yangu Furaha Yangu’ nmezungumzia mambo matatu.

Jambo la kwanza ni namna ya kuimarisha mahusiano yako na mumeo wako wakati wa ujauzito, jambo la pili ni namna ya kumfanya mwanaume akugande baada ya kujifungua na jambo la tau ni malezi ya watoto.

Ukifanya mambo haya vizuri basi jua kua wewe kelelekelele utazisikia kwa majirani kwani mwanaume anaweza kubadilika mara moja. Lakini ukikosea kidogo basi jua inaweza ndiyo tiketi ya kumfukuza mume wako na kutengeneza ndoa ya mateso.

Kitabu hiki ni shilingi elfu kumi tu na kinapatikana kwa njia ya Email, Whatsapp na Facebook. Usisubiri ndoa yako iharibike ndiyo uanze kulialia, kuna kitu unaweza kufanya kwajaili ya ndoa yako sasa. Kukipataunalipia kwa M-Pesa No.  0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 hakikisha Jina linakuja Iddi Makengo.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA