KUNA KICHAA CHA NDOA NA MAGONJWA YA NDOA.

KICHAA CHA NDOA TULISHAKIONGEA SANA.
LEO TUONE WAGONJWA WA NDOA AMBAO HAWANA VICHAA LAKINI WANAUMWA.

Haya magonjwa ya ndoa tanawashika wanawake walioko ndoani tuuu. Yani ajabu ni kwamba "WENYE NDOA HALALI " Ndio WAGONJWA ZAIDI.
Yako magonjwa mangapi?
Fuatilia Makala hii.
Katika tafiti zangu ambazo nimezifanya magonjwa haya huwashika wanawake ambao
Wanadini zao.
Elimu zao
Urembo na shape zao
Wenye pesa zao 
Wasio wasomi pia.

Magonjwa haya ni hatari pia kwani yasipotibika haraka hupelekea KICHAA CHA NDOA NA MITAFARUKU MIKUBWA NDOANI.
Ni kwa nini basi wanawake wenye ndoa ndio huugua?
Tafiti zangu za Kikungwi zimebaini wanaugua kwa sababu zifuatazo.
MAKUZI WALIYOKULIA NA WATU WALIOWAZUNGUKA.
Hata hivyo yanatibika endapo mhusika atataka kupona.
Sasa tuone magonjwa hayo.
1.KUTOWASILIANA NA MUMEO
Huu ni Ugonjwa hatari sana.
Wana ndoa wengi hawawezi kabisa kuwasiliana. Si ajabu siku nzima  wanandoa wasiwasiliane,aiza kukuliana hali ama kupeana taarifa mbali mbali.

2. KUFICHANA VIPATO KWA MUMEO
Huu ugonjwa kila uchao unashamiri kati ya wanandoa.
Yani WANANDOA KUWA NA SIRI Katika vipato vyao sasa ni kawaida kabisa.

3. KUMNYIMA MUME MDINYO AMA KUTOMRIDHISHA KIMAPENZI MUMEO
Huu ugonjwa ni mbaya sana. Mke hajali kabisa hisia za mume na si ajabu akamjibu mumewe sitaki,nimechoka,sina hamu,hunifikishi,unanuka mdomo,unachepuka na fulani nk. ILI MRADI TUU AMNYIME MUMEWE.
Na kama basi Atampa itakuwa bora liende,Hakuna kujituma na kutoa game yenye Ushuhuda. Badala yake MUME Kusukumwa anapomaliza na wakati mwingine asimalize . Huu ugonjwa mbaya sana.
Lakini Utashangaa mwanamke anayeugua ugonjwa huu akasimgizia hata yuko hedhi,ama anaumwa,ama hata akalala chumbani na mtoto wake wa miaka kumi na tatu kama sio tisa. Ili tu huyu baba asimguse.

4.KUTOKUWA MBUNIFU HASA CHUMBANI.
Ugonjwa wa kutokuwa mbunifu. Wanaugua sana wenye ndoa zao. Hawataki kubuni chochote 
HAKUNA UBUNIFU Kabisa. Kubweteka kama nilichokisema kuhusu Gogo la mkaratusi lililolala tuuuu linasubiri kufanywa Mstimu.
Licha ya gogo la mkaratusi lakini kutojiweka KIHAIBA,Ni hatari sana.

5. KUHESHIMU MANABII KULIKO MUME WAKO.
Huu ugonjwa huuu 🤔🤔🤔🤔🤔🙆🙆🙆🙆🙈🙈
Mke hana habari na mume wake,haongei na mume kwa upendo ila mkute kwa NABIII.... Goti limepigwa,sauti ya upole,sura ya unyenyekevu kama MALAIKA. ILA KWA MUME MH.. UTADHANI KAPAGAWA PEPO.

NINI SASA KIFANYIKE AIZA KUTIBU AMA KUEPUKA UGONJWA AMA MAGONJWA HAYA?

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA