KWANINI KAULI YA MIAKA YA SASA WANAUME SIO WAOAJI


Dada kijana umekutana siku moja tayr sim imeharibika nywele zinafumuka mama anaumwa mambo kibao atakosaje kukuacha

Miaka ya sasa mdada akipata mchumba mpenzi ndio kama amepata nafuu ya maisha anasema kama awezi nitunza anipi hela ya matumizi siwezi kuwa nae pumbavu wewe mbona kujitunza uwezi si ungetafuta ujitunze ukipewa mtaji milioni uwezi uendeleza afu unasema unataka mwanaume mwenye hela wakati wewe uwezi kuzitafuta kahaba mkubwa wewe afu unalalamika wanaume sio waoaji badilika sio wanaume sio waoaji ila wanawake wanataka mwanaume ambaye hata kama mama ake angefanya vigezo hivyo yeye asingezaliwa

WADADA MJE
Heshima ya mchumba,mpenzi akutunze ndio kila mwanamke anatamani akitunzwa anajua kwamba anapendwa ndio maana maono ya wanaume sahihi ni shida sana maana mwenye pesa ndio anaonekana mume .. ile kauli wanaume waongo sijui kama itaisha kama akili za wadada zisipo zidi kubadilika wadada wanatamani sana mume mwenye hela na bora na atamani mume ambaye anaweza kumtengeneza akawa bora na hela wakaanza na wakafika sehemu ya ushuhuda ...

Ndio maana wadada wanavutiwa na waume za watu wenye hela ukifwatilia mke wake alimvumilia sana huyo mwanaume enzi izo kama ungekuwa wewe ungesema siwezi olewa na mwanaume wa hivi..
Bila ya kujali huyo mme ana mke wake huyu binti atatulia,, ila cha ajabu akipata kijana mwenzake anayeukimbilia utajiri atamtaka huyu kaka asiwe na mchepuko wakati kwa mme wa mtu wala alikua hajali hilo
Hilo ni pepo na ushetani
Ni kujizolea laana na kujitafutia nuksi za jasho la mke halali
#MadamKasema
Ukinuna nunu panadol unywe
Umekosa ubunifu wa kujitafutia pesa, wenzako wanauza vijora na viwasusi wavuri kwenye ma saloon wewe huna kazi ya maana unateseka na mwili wako kigeuzwa geuzwa na kila mwanaume kisa pesa... Pole my dia

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA