Mume bora hapimwi kwa elimu yake, pesa zake, muonekano wake wala nafasi yake kazi.

 




Mume bora ni yule mwenye upendo na utii kwa mke wake, mwenye huruma na ukarimu, mwenye kujua thamani ya mke wake, mwenye kujizatiti kuwa kiongozi na baba bora wa familia, mwenye subra na utulivu wakati wote.

Pombe, sigara na vitu vyengine kama hivyo kwake havina nafasi, kipaumbele chake ni kujiweka karibu na mungu na muhamasishaji mkubwa wa familia yake juu ya uwepo wa mungu.

Inahitaji utulivu na busara kumpata mwanaume wa aina hii, mume bora hapimwi kwa kumtunuku mwili wako. Ila mume bora anapimwa kwa imani yake, busara na hekma zake na uwezo mkubwa wa kukusaidia kimawazo.

Shar

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA