VIFAA VYA KUANDAA CHUMBANI KWA KABLA NA BAADA YA TENDO


 mwanamke lazima ukijua leo una mechi na mpenzi wako lazima ujiandae,,ni aibu kuingia kwenye mechi hujaandaa vitu 👌👌
hakikisha ndani ya chumba chako hukosi vitu vifuatavyo

*VITAULO 

MAJI YA VUGUVUGU

 JUICE AU MAJI🍸

MATUMIZI YA VIFAA HIVYO YAPO KAMA IFUATAVYO 👇👇👇
Vitaulo vinatumika kujifutia Mkimaliza game au mkiwa mapumziko mkisubiri round nyingine kitaulo kitatumika kujifutia

Maji ya uvuguvugu kazi yake mkishamaliza kufanya mapenzi unachukua maji ya vuguvugu nakitaulo chako unakichovya maji yale kisha unaanza kulikanda kanda hogo 
Taratibu likande kande kama unapandisha nakushusha yale maji yanasaidia kulifanya hogo lirelax pamoja na misuri 

Juice au maji nimuhimu yawepo chumbani yatawasaidia kushusha pumzi na kurelax koo kutokana na shughuli hiyo mliyokua mnafanya......

Previous Post Next Post