WANAUME WANADHANJ KUWA UKIMZALUSHA MWANAMKE BADI HAOLEWI TENA


Kuna wanaume wengi wanadhani kuwa ukishamzalisha mwanamke basi ndiyo haolewei tena. Wanaume wengi ambao hawajiamini huanza kubadilika baada ya mwanamke kupata mtoto, wanaishi kwa kuamini kuwa mwanamke akishapata mtoto basi thamani yake hushuka hivyo wanaanza kiburi, masengenyo na manyanyaso. Ukweli nikuwa, mwanamke bila kujali kama ana mtoto au hana bado anaendelea kubaki mwanamke, hakuna kinachobadilika.

Mwanamke kama ukijiamini, kama ukijitambua na wewe mwenyewe kuacha kumuona mtoto wako kama laana. Mwanamke kabla hujawaza furaha kutoka kwa mwanaume basi jitengenezee mwenyewe, najua ni kitu kigumu kidigo hasa kwa wale wanawake ambao washakua mateja wa mahusiano mabaya lakini ukiamua inawezekana. Una mtoto yes mfurahie mtoto wako, kuna ambao hawana, jipende wewe, tafuta kazi jua kujihudimia mwenyewe.

Kama unatamani kuwa na furaha yako mwenyewe ambayo haimtegemei mwanaume basi hembu soma kitabu changu cha “Ndoa Yangu FUraha Yangu” sehemu ya nne. Bei yake ni shilingi elfu kumi tu. Kukipata unalipia kwa M-Pesa No. 0742-381-155 au Tigo Pesa No. 0657-552-222 na kitabu unatumiwa kwa njia ya Whatsapp au Email.

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA