💞💞FAHAMU KUHUSU MWANAMKE✍️✍️💞💞

💞💞💞Madame _DORCUS_ nimekuandalia somo hili wewe mwanaume yamkini unaishi na mkeo/mpenzi wako  ila inatakiwa ufahamu kuwa👇👇👇💞💞

,💞💞Mwanamke ni kiume wa aina yake na Mungu katika kumuumba alimpa akili ya pekee sana, ndio maana hata vitabu vya dini vinasema uishi nae kwa akili.😅😅😅💞💞

💞💞💞Nasema akili kwa kuwa mwanamke hajapewa nguvu kama   ww maana ww unaweza mpiga ila yeye akatumia akili yake na ukabaki unashangaa tu.💞💞

💞💞Familia nyingi zilizofahanikiwa nyuma yake kuna mwanamke, kama unapingana hilo fatilia utapata majibu mazuri. Au hujawahi ona mtu anamtesa mkewe halafu anamfukuza maisha yake yanabadilika ghafla ww ubadhani ni kwa nn? Amka usingizini💞💞

💞💞Mwanamke akikupenda anaweza fanya chochote kwa ajili yako au anaweza ishi na ww bila kujali unamaisha ya aina gani, unaweza ukakuta hadi marafiki au watu wanamshangaa kufikria kakupendea nn? Ila ndio upendo huo.🤐💞💞

💞💞Na hata kama utamtesa au utamtukana ataendelea kukukpenda tu maana  hana mbio kwako.

💞💞Unaweza ukawa unamcheat atavumilia akiamini ipo siku utabadilika na kumpenda tena,Lakini kadri unavyozidi kumnyanyasa,kumpiga na kumtukana tambua ipo siku atachoka.😞💞💞

💞💞Hapo sasa akishachoka mwanamke mara nyingi huwa harudi nyuma hata kama hataondoka kwako ila dharau na kiburi huwa vinafanya kazi hapo sasa unaweza sema mke wangu anadharau ila huwezi jua wewe ndio sababu.💞💞

💞💞Hapo umemtambua mwanamke maana nmemzungumzia mwanamke mwenye upendo wa dhati kabisa.💞💞

💞MPENDE MKEO PENDA FAMILIA YAKO ILI UDUMISHE NDOA YAKO💞

Previous Post Next Post