Fahamu mambo unayotakiwa kuyaepuka wakati Wa kwenda kulala na mmeo

TEE
KARIBU KATIKA SOMO✍️✍️✍️✍️

Madame Dorcus nmekuandalia somo hili👇👇
❤💋💋❤💋❤💋❤
*fahamu mambo unayotakiwa kuyaepuka wakati Wa kwenda kulala na mmeo*
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

👉kama mke unatakiwa kuepuka tabia hizi pindi uingiapo chumbn kulala na mmeo

❤kwenda kulala mda (wakati) tofauti na mmeo
👉Mme kalala chumban wewe upo sebulen au wewe unaanza kulala kabla ya mmeo

❤kuwa bize na simu au tv ukiwa kitandan
👉hii utafsiliwa kama dharau yaan umemdharau mmeo👌

❤kupanda kitandani ukiwa mchafu
👉ujaoga au hujajisafisha uke,ujanyoa mavuz, hii umfanya Mme akinai kufany mapenz na wewe

❤kulala kitandani na Mme huku unahasira
👉hii utafsiriwa kuwa unakiburi na umemchoka Mme👌

❤kuwa bubu chumbani
👉upo na mmeo kitandani upo kimya mda wote, upo serious km upo na kaka yako👉hii umfanya Mme hakose hamu ya kukuanza 

❤kutoa visingizio Mme akionyesha kutaka mzigo
👉hii ndio hatar kbs hupelekea Mme kuchepuka,
 mmeo apagawe kwako.

Made with Love by

Pixy Newspaper 11 Template is Designed Theme for Giving Enhanced look Various Features are availabl…
To Top