MAMBO YA KUEPUKA UWAPO CHUMBANI

🌹 *DONDOO ZA NDOA*🌹

EPOSODE YA 4

✍️

Leo Dr.Charles nimekuandalia mambo ya kuepuka unapokuwa na mwenzako chumbani...Hii ni episode ya 4

1.Epuka kwenda kulala mda (wakati) tofauti na mmeo.
Mme kalala chumban wewe upo sebulen au wewe unaanza kulala kabla ya mmeo.. Hapa najua kuna watu hawatakubali kabisa😃 ila ukweli ndio huo.. 

2.kuwa bize na simu au tv ukiwa kitandan
hii utafsiliwa kama dharau yaan umemdharau mmeo👌

3.kupanda kitandani ukiwa mchafu
ujaoga😂 au hujajisafisha uke,ujanyoa mavuz, hii umfanya Mme akinai kufany mapenz na wewe...

4.kulala kitandani na Mme huku unahasira
hii utafsiriwa kuwa unakiburi na umemchoka Mme👌

5.kuwa bubu chumbani
upo na mmeo kitandani upo kimya mda wote, upo serious km upo na kaka yako👉hii umfanya Mme hakose hamu ya kukuanza ✍️

6.kutoa visingizio Mme akionyesha kutaka mzigo
👉hii ndio hatar kbs hupelekea Mme kuchepuka,
 
_TIBU Chanzo_

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA

DOWNLOAD APP YETU GOOGLE PLAY BONYEZA HAPA